Mseto wa YouTube

Mseto wa YouTube ni orodha ya video ya mfululizo iliyobuniwa kwa ajili yako. Unaweza kupata Miseto ya YouTube:

  • Katika matokeo ya utafutaji
  • Katika Ukurasa wa Kwanza
  • Kwenye kadi za Muziki
  • Katika sehemu ya Zinazopendekezwa kwenye kurasa fulani za kutazama
​Je, unafurahia Mseto wa YouTube unaosikiliza? Uweke kwenye sehemu ya "Orodha za video" ya Maktaba yako ili uweze kuusikiliza kwa urahisi tena baadaye.

Kumbuka: Iwapo maudhui unayotazama yana hadhira inayolenga watoto, kipengele cha kuhifadhi Mseto hakitapatikana. 

Kwenye Kompyuta

  • Ili kuongeza Mseto: katika sehemu ya juu kulia ya Mseto, bofya  .
  • Ili uondoe Mseto: katika sehemu ya juu kulia ya Mseto, bofya orodha ya kucheza iliyohifadhiwa.

Kwenye Kifaa cha Mkononi

Kutoka kwenye ukurasa wa kwanza:

Ili uongeze Mseto kwenye maktaba yako:

  1. Gusa Zaidi '' .
  2. Gusa Ongeza kwenye Maktaba  .

Kutoka kwenye ukurasa wa Mseto:

  • Chini ya maelezo, gusa Hifadhi  ili uongeze Mseto kwenye maktaba yako. Gusa Umehifadhiwa  ili uondoe Mseto kwenye maktaba yako.

Ili uondoe Mseto kwenye maktaba yako:

  1. Gusa  Maktaba  .
  2. Gusa Mseto ambao ungependa kuondoa.
  3. Gusa Zaidi '' kwenye kidirisha cha orodha ya video.
  4. Gusa "Ondoa orodha ya video kwenye Maktaba."

 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
4205558372861923897
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false