Kuwazuia watazamaji wengine kwenye gumzo la moja kwa moja katika YouTube

Ikiwa hungependa kuona tena ujumbe wa mtazamaji mwingine kwenye gumzo la moja kwa moja, unaweza kumzuia mtazamaji huyo. Mtazamaji huyo pia hataona ujumbe wako, isipokuwa unapochapisha kwenye chaneli yake au chaneli ambapo yeye ni mdhibiti.

Kidokezo: Watazamaji pekee ndio wanaweza kuzuia watazamaji wengine. Ukimzuia mtazamaji, anaweza kuzuiwa kwenye bidhaa na huduma zote za Google. Watayarishi na wadhibiti wanaweza kuficha watazamaji kwenye chaneli yao kwa kudhibiti gumzo la moja kwa moja.

Jinsi ya kuzuia watumiaji kwenye gumzo la moja kwa moja

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Kumzuia mtu kwenye gumzo la moja kwa moja

  1. Wekelea kiashiria cha kipanya chako juu ya ujumbe wa mtazamaji ambaye ungependa kumzuia.
  2. Bofya Zaidi More.
  3. Bofya Zuia .

Kuacha kumzuia mtu kwenye gumzo la moja kwa moja

Ili umwondolee kizuizi mtazamaji, nenda kwenye myaccount.google.com/blocklist.

 

Makala yanayohusiana

Kumzuia mtoa maoni

Kuzuia au kuondoa kizuizi kwenye akaunti za watu

Kudhibiti gumzo la moja kwa moja

Kuzuia maudhui na chaneli - Vidhibiti vya wazazi

Kudhibiti mapendekezo na matokeo yako ya utafutaji

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
5045186112873728433
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false