Kuwekea lebo mahali ulipo kwenye video na mitiririko mubashara

Hatua ya kuwekea lebo mahali ulipo kwenye video na mitiririko mubashara huwaruhusu watazamaji kupata video zako kulingana na mahali hapo. Wanaweza pia kuona video nyingine ambazo ziliwekewa lebo katika eneo lilo hilo.

Unaweza kuona maeneo yaliyowekewa lebo kwenye ukurasa wa kutazama wa video zako zozote. Watazamaji wataona lebo na video zozote za umma, zisizoorodheshwa au za faragha ambazo unashiriki nao. Watazamaji wanaweza kubofya mahali ili watafute video za umma kutoka kwa mahali husika.

Jinsi ya Kuwekea Lebo Mahali Ulipo kwenye Video na Mitiririko Mubashara📍

Kuwekea video lebo kwenye Studio ya YouTube

  1. Fungua Studio ya YouTube.
  2. Kwenye Menyu ya kushoto, chagua Maudhui.
  3. Kwenye sehemu ya juu, bofya kuchupo cha Mubashara au Upakiaji .
  4. Bofya mada au kijipicha cha video.
  5. Bofya Chaguo zaidi.
  6. Chini ya "Eneo la video," tafuta eneo la kuwekea lebo. 
  7. Chagua eneo kisha ubofye Hifadhi katika sehemu ya juu kulia. 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
5471329186269287806
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false