Kisanduku cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji

Iwapo chaneli inamilikiwa na shirika la kuchapisha habari linalofadhiliwa na serikali, au linafadhiliwa na umma, kisanduku cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji kinaweza kuonyeshwa kwenye ukurasa wa kutazama wa video kwenye chaneli yake.
 
Kisanduku cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji hufafanua jinsi mchapishaji hufadhiliwa na hutoa kiungo cha ukurasa wa mchapishaji kwenye Wikipedia. Utaona kisanduku cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji moja kwa moja chini ya video karibu na aikoni ya maelezo  .
 
Kisanduku hiki cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji kinanuiwa kukupa maelezo ya ziada ya kukusaidia kufahamu vyema vyanzo vya maudhui ya habari unayotazama kwenye YouTube. Ujumuishaji wa kisanduku cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji unalingana na maelezo kuhusu shirika la kuchapisha habari yanayopatikana kupitia Wikipedia na vyanzo vingine huru. Si maoni ya YouTube kuhusu mwelekeo wa uhariri wa video au mchapishaji, au kwa ushawishi wa uhariri wa serikali.
 
Kisanduku cha maelezo kuhusu muktadha wa mchapishaji hakionyeshwi katika matokeo ya utafutaji kwenye Google.
 
Huenda vidirisha vya maelezo visipatikane katika nchi au maeneo yote na kwa lugha zote. Tunajitahidi kuweka vidirisha vya maelezo katika nchi au maeneo zaidi.
 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
12292900220002364487
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false