Kuongeza au kupunguza kasi ya kucheza video za YouTube

Unaweza kucheza video katika kasi tofauti au kusogeza mbele na kurudisha nyuma kwenye vifaa vingi.

Kidokezo: Kwa sababu za utendaji, lazima uwe unatumia toleo la Android 5.0 au jipya zaidi ili kucheza video kwa kasi tofauti.

Nenda kwenye video.

  1. Gusa video mara moja, kisha gusa Zaidi ''.
  2. Gusa Kasi ya Uchezaji.
  3. Chagua kasi ambayo ungependa kutumia kucheza video.

Ili usogeze mbele haraka au urudishe nyuma kwa sekunde 10.

  • Ili urudishe nyuma, gusa mara mbili upande wa kushoto wa skrini ya video.
  • Ili usogeze mbele haraka, gusa mara mbili upande wa kulia wa skrini.

Ili usogeze mbele haraka video kwa kasi ya mara 2: 

  1. Gusa na ushikilie popote kwenye video. 
  2. Ili kusitisha kusogeza mbele haraka, inua kidole chako.

Pata maelezo zaidi kuhusu vipengele vinavyokusaidia kudhibiti hali yako ya utazamaji kwenye YouTube

Televisheni zinazoweza kuunganisha kwenye intaneti na vifaa vya kutiririsha

Kumbuka: Huenda kasi ya kucheza isipatikane kwenye vifaa vya kutiririsha na televisheni zote zinazoweza kuunganisha kwenye intaneti.
  1. Kwenye ukurasa wa kutazama wa video, chagua Mipangilio .
  2. Chagua Kasi.
  3. Chagua kasi ambayo ungependa kutumia kucheza video.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1679638993319903595
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false