Mabadiliko kwenye idadi ya maoni

Huenda sasa unakumbwa na tatizo ambapo idadi ya maoni kwenye ukurasa wa kutazama wa video ni tofauti na idadi unayoona kwenye Takwimu za YouTube. Tunasasisha mifumo yetu ili kuhakikisha inazingatia ulinganifu, kwa hivyo huenda idadi unazoona zimebadilika hivi karibuni.

Idadi ya maoni yako ikipungua, huenda ni kwa sababu baadhi ya maoni yalikiuka sheria zetu kuhusu sera za taka na sera nyinginezo zilizoorodheshwa kwenye Mwongozo wa Jumuiya. Pata maelezo kuhusu udhibiti na uondoaji wa maoni.

Idadi sahihi ya maoni ni ipi?

Katika ukurasa wa kutazama, maoni halisi yanayopakiwa kwenye ukurasa ndiyo idadi sahihi. Huenda idadi ambayo unaona juu ya sehemu ya maoni kwenye ukurasa wa kutazama wa video isiwe sahihi kwa sasa.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
11229054591754928658
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false