Kuwasiliana na watayarishi katika Machapisho ya jumuiya

Machapisho ya jumuiya yanakuruhusu uwasiliane zaidi na watayarishi unaowapenda. Unaweza kujibu kura za watayarishi, mijarabu, picha, GIF na zaidi kwenye YouTube.

Machapisho ya Jumuiya yanapatikana kwenye Kichupo cha Jumuiya cha chaneli ya mtayarishi na yanaweza pia kuwa katika Mipasho ya Ukurasa wa Kwanza na Mipasho ya usajili.

Angalia machapisho

Ingia katika akaunti ya YouTube kwenye kompyuta ili ujibu machapisho, mijarabu na kura za Jumuiya na udhibiti machapisho ya Jumuiya.

Kujibu maoni na machapisho ya Jumuiya

Ili ujibu chapisho la Jumuiya

  1. Nenda kwenye chaneli kisha ubofye Kichupo cha Jumuiya.
  2. Chini ya chapisho la mtayarishi (maandishi, picha, kura za picha, mijarabu au video), bofya Maoni . Unaweza kutoa maoni kwenye chapisho au jibu la mtu mwingine.
  3. Weka jibu lako.
  4. Bofya MAONI.

Ili ujibu maoni kwenye Chapisho la Jumuiya

  1. Bofya JIBU chini ya maoni.
  2. Andika maoni yako.
  3. Bofya JIBU.

Kidokezo: Unaweza pia kujibu chapisho kwa kubofya Nimeipenda  au Sijaipenda hainipendezi. Kumbuka kuwa majibu yako yanahusishwa na akaunti ambako umeingia.

Badilisha maoni yako kwenye kura za maoni, mijarabu na Machapisho ya jumuiya
  1. Ingia katika akaunti ya YouTube kwenye kompyuta yako.
  2. Nenda kwenye historia yako ya kutoa maoni.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
10968193597703832149
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false