Wasiliana na huduma ya Usaidizi wa YouTube kwa bidhaa zinazolipiwa

Pata usaidizi

Ili uwasiliane na kituo cha usaidizi au uombe urejeshewe pesa, chagua lugha unayopendelea kutoka kwenye jedwali lililo hapa chini. Tunapendekeza ufuate hatua hizi za utatuzi ili uchunguze mwenyewe na urekebishe tatizo lako.

Lugha Saa za Kazi
Kiingereza Kila wakati, kila siku
Kihispania (Uhispania) Saa 5 Asubuhi hadi Saa 9 Usiku, Saa za GMT, kila siku
Kihispania (LATAM) Saa 5 Asubuhi hadi Saa 9 Usiku, Saa za GMT, kila siku
Kiitaliano Saa 3 Asubuhi hadi Saa 12 Jioni, Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa
Kirusi Saa 5 Asubuhi hadi Saa 2 Jioni Majira ya GMT, Jumatatu hadi Ijumaa
Kituruki (Uturuki) Saa 1 Asubuhi hadi Saa 10 Jioni Saa za GMT, Jumatatu hadi Ijumaa
Kifaransa  (Kanada) Saa 8 Mchana hadi Saa 4 Usiku Majira ya GMT, Jumatatu hadi Ijumaa
Kifaransa (Ufaransa) Saa 3 Asubuhi hadi saa 11 Jioni, Majira ya GMT, kila siku
Kijerumani Saa 3 Asubuhi hadi saa 11 Jioni, Saa za GMT, kila siku
Kireno (Ureno) Saa 5 Asubuhi hadi Saa 8 Usiku, Saa za GMT, kila siku
Kireno (Brazili) Saa 2 Asubuhi hadi saa 5 Usiku, Saa za BRT, kila siku
Kijapani Saa 3 Asubuhi hadi Saa 12 Jioni, Saa za JT, Jumatatu hadi Ijumaa
Kikorea Saa 3 Asubuhi hadi Saa 2 Usiku, Saa za KST, kila siku

Ikiwa ulinunua uanachama au bidhaa nyingine dijitali kwenye YouTube, unaweza kuwasiliana na kituo cha usaidizi ili upate usaidizi. Ili uwasiliane na kituo cha Usaidizi cha YouTube, hakikisha kuwa umeingia katika akaunti uliyotumia kufanya ununuzi.

Ukipokea YouTube Premium kupitia usajili wa Pixel Pass, pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kudhibiti akaunti yako hapa.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
9972935795315396367
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false