Jinsi huduma ya YouTube Premium inavyowasaidia watayarishi

Ukiwa mtumiaji wa YouTube Premium, unaweza kufurahia manufaa, kama vile video zisizo na matangazo, huku ukiwasaidia watayarishi wa YouTube unaowapenda.

Jinsi huduma ya YouTube Premium inavyowasaidia watayarishi

Watayarishi ni sehemu muhimu zaidi ya YouTube. Ili kuhakikisha wanalipwa kwa kazi yao, tunashiriki nao mapato ya matangazo unapotazama matangazo kwenye YouTube. Ikiwa wewe ni mtumiaji wa YouTube Premium, hutaona matangazo, kwa hivyo tunagawanya ada yako ya uanachama ya kila mwezi na watayarishi. Jambo muhimu zaidi, kadri unavyotazama video nyingi za watayarishi uwapendao, ndivyo wanatengeneza pesa nyingi.

Gharama ya vipengele vya kulipiwa

Kama huduma nyingine za uanachama unaolipiwa, huduma ya YouTube Premium inakupa chaguo la kulipia kifurushi cha vipengele bora kwenye YouTube. Kwa uchezaji wa chinichini na chaguo la kupakua video za kutazama nje ya mtandao, unapata thamani bora kutokana na uanachama wako. Ukiwa na akaunti ya YouTube Premium, hali yako ya kutumia YouTube imeboreshwa huku tukihakikisha kuwa watayarishi wanaendelea kufidiwa kwa maudhui yao.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
16925534679254144457
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false