Kuchagua mipangilio chaguomsingi ya muundo wa matangazo

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika ambao hutumia Kidhibiti Maudhui cha Studio ya YouTube. Wasiliana na Msimamizi wako wa Washirika wa YouTube ili uweze kuvitumia.

Unaweza kuweka chaguomsingi za muundo wa matangazo zitumike katika video zote mpya utakazopakia. Unapofanya hivi, si lazima ubadilishe mipangilio kila wakati unapopakia video. Ni bora kuweka mipangilio chaguomsingi ya muudo wa matangazo wakati unafungua kituo kipya.

Kiwango cha kituo

Fuata maagizo ili uweke mipangilio yako chaguomsingi ya miundo ya matangazo.

Kiwango cha Kidhibiti Maudhui

  1. Ingia katika akaunti ya Kidhibiti Maudhui cha Studio.
  2. Kwenye menyu ya kushoto, chagua Vituo .
  3. Katika kichupo cha Muhtasari, elea juu ya kituo ambacho ungependa kubadilisha.
  4. Bofya "Mipangilio chaguomsingi ya video zinazopakiwa" .
  5. Chagua kichupo cha Uchumaji wa mapato.
  6. Weka muundo/miundo ya matangazo ambayo ungependa kuruhusu kwenye kituo chako.
Kumbuka: Mipangilio ya kiwango cha video inaweza kubatilisha mipangilio ya kiwango cha kituo. Mipangilio ya kiwango cha kituo inaweza kubatilisha mipangilio ya kiwango cha Kidhibiti Maudhui.

Maudhui yanayohusiana

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16724639275638970510
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false