Sera kuhusu kusafiri na maeneo ambako uanachama wa Premium unapatikana

Tuna aina kadhaa za uanachama wa YouTube unaolipiwa ili kukusaidia kuboresha hali yako ya utumiaji kwenye YouTube. Pata maelezo zaidi kuhusu huduma zetu za uanachama unaolipiwa.

Uanachama wa YouTube Premium unapatikana katika nchi au maeneo yaliyoorodheshwa hapa chini.

Maeneo ambako uanachama wa Premium na wa Music Premium unapatikana

Aljeria Lebanoni
Samoa ya Marekani Libya
Ajentina Lishenteni
Aruba Litwania
Australia Lasembagi
Austria Malesia
Azabajani Malta
Bahareni Meksiko
Bangladeshi Moroko
Belarusi Nepali
Ubelgiji Uholanzi
Bermuda Nyuzilandi
Bolivia Nikaragwa
Bosnia na Hezegovina Nigeria
Brazili Masedonia Kaskazini
Bulgaria Visiwa vya Mariana Kaskazini
Kambodia Norwe
Kanada Omani

Visiwa vya Cayman

Pakistani
Chile Panama
Kolombia Papua
Kostarika Paragwai
Korasia Peru
Kuprosi Filipino
Jamhuri ya Zechia Polandi
Denmaki Ureno
Jamhuri ya Dominika Pwetoriko
Ekwado Katari
Misri Riyunioni
Elsavado Romania
Estonia Urusi - haipatikani kwa muda
Ufini Saudia
Ufaransa Senegali
Guyana ya Ufaransa Serbia
Polinesia ya Ufaransa Singapoo
Jojia Slovakia
Ujerumani Slovenia
Ghana Afrika Kusini
Ugiriki Korea Kusini - Uanachama unaolipiwa pekee
Guadalupe Uhispania
Guam Sirilanka
Gwatemala Uswidi
Hondurasi Uswizi
Hong Kong Taiwani
Hangaria Tanzania
Aisilandi Tailandi
India Tunisia
Indonesia Uturuki
Iraki Visiwa vya Turks na Caicos
Ayalandi Visiwa vya Virgin vya Marekani
Israeli Uganda
Italia Ukraini
Jamaika Muungano wa Falme za Kiarabu
Japani Uingereza
Jordan Marekani
Kazakistani Urugwai
Kenya Venezuela
Kuwaiti Vietinamu
Laosi Yemeni
Lativia Zimbabwe
Kumbuka: Uanachama wa YouTube unaolipiwa huenda usipatikane katika baadhi ya majimbo au maeneo, hata ikiwa yapo katika nchi au eneo lililorodheshwa hapo juu.

Maeneo ambako uanachama wa Premium Lite unapatikana

Ajentina

Australia

Brazili

Kanada

Chile

Kolombia

Ufaransa

Ujerumani

Uingereza

India

Italia

Japani

Meksiko

Ufilipino

Polandi

Romania

Singapoo

Korea Kusini

Uhispania

Taiwani

Thailand

Uturuki

Marekani

Kusafiri na uanachama wa YouTube Premium

Unapaswa kutumia uanachama wako wa YouTube Premium hasa katika nchi ulikojisajili (nchi ya usajili wako).

Soma zaidi kuhusu jinsi kusafiri kunavyoweza kuathiri uanachama wako:

Manufaa ya uanachama wako unaposafiri:

  • Unaposafiri nje ya nchi ulikosajili, manufaa ya uanachama wako yanaweza kubadilika kulingana na eneo uliko.
  • Iwapo unaenda katika nchi ambako Premium au Premium Lite inapatikana, utaendelea kupata manufaa ya uanachama.
  • Ukienda katika nchi ambako Premium au Premium Lite haipatikani, hutaweza kupata manufaa ya uanachama wako. Video zozote ulizopakua kabla ya kusafiri zitapatikana nje ya mtandao kwa siku 30.
  • Iwapo wewe ni mtumiaji wa YouTube Music Premium au YouTube Premium, unaweza kupata manufaa ya uanachama wako unaolipiwa na maktaba yako ya muziki kwenye programu ya YouTube Music. Utaweza kuyafikia hata ukiwa katika nchi au eneo ambako uanachama wa YouTube Music Premium haupatikani. Utapata maudhui ya muziki unayopata katika nchi ulikojisajili kwa muda mfupi unaposafiri ili uendelee kufurahia hali yako ya usikilizaji. Muziki uliopakua pia utasalia ili uusikilize kwa siku 30 bila kuwa na muunganisho wa intaneti. Manufaa ya uanachama wako unaolipiwa (kama vile kusikiliza nje ya mtandao, uchezaji wa chinichini, kusikiliza bila matangazo, n.k.) yatatumika tu katika programu ya YouTube Music unaposafiri. Manufaa haya kwa sasa hayatumiki katika programu na huduma nyingine kwa watumiaji wanaosafiri.

Kusafiri kwa muda mrefu au kuhamia katika nchi nyingine:

  • Unapaswa kutumia uanachama wako wa YouTube Premium hasa katika nchi ulikojisajili.
  • Ikiwa unasafiri kwa zaidi ya siku 30 au unahamia katika eneo au nchi tofauti, huenda tukachukua hatua dhidi ya usajili wako, kama vile kuusitisha au kuukatisha. Tutakufahamisha tutakapofanya mabadiliko. Ikiwa usajili wako unapatikana katika eneo uliko sasa, unaweza kujisajili tena ili udumishe ufikiaji wa manufaa ya uanachama wako.

Kuwakilisha maeneo uliko kwa njia ya uongo:

  • Ili kuhakikisha kuwa tunaweza kutoa vifurushi na bei inayofaa, ni lazima uwakilishe kwa usahihi nchi uliko unapojisajili na kutumia vifurushi vya usajili wa YouTube Premium. Ukiwakilisha eneo uliko kwa njia ya uongo (k.m., utumie VPN) au ujaribu kukwepa vizuizi vya ufikiaji na upatikanaji, tunaweza kukatisha usajili wako.
Dokezo: Je, unatafuta maelezo kuhusu YouTube TV? Tembelea Kituo cha Usaidizi cha YouTube TV ili upate maelezo zaidi kuhusu uanachama, mahali inakopatikana pamoja na mada nyingine.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
901403376136441810
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false