Tazama VR180 na video za mwonekano wa digrii 360 ukitumia Cardboard

Unaweza kutazama VR180 na video za mwonekano wa digrii 360 kwa hali bora ya uhalisia pepe ukitumia Cardboard na programu ya YouTube ya vifaa vya mkononi.

  1. Kuunganisha Google Cardboard.
  2. Fungua programu ya YouTube kwenye Android.
  3. Tafuta video ya VR au uende kwenye kituo cha Uhalisia Pepe kwenye YouTube kwa kutafuta "Uhalisia Pepe." Tafuta aikoni hii ili upate kituo sahihi .
  4. Chagua video ya VR.
  5. Ili uanze uchezaji, gusa kitufe cha kucheza.
  6. Gusa aikoni ya Cardboard . Mgawo wa skrini utagawanyika kwa skrini mbili ndogo.
  7. Weka simu yako katika Cardboard.
  8. Chunguza ili utazame video katika VR180 au mwonekano wa digrii 360.

Pata maelezo zaidi kuhusu kutazama maudhui ya digrii 360 au 180.

Cardboard haitumiki kwenye iPhone na iPad.

Kumbuka: Uchezaji wa VR180 na video ya mwonekano wa digrii 360 hauruhusiwi kwenye vivinjari vya simu. Vivinjari hivyo vinajumuisha mwonekano wa wavuti kwa tovuti na programu nje ya YouTube.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
370041025766032739
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false