Huwezi kufikia YouTube

Ukiona ukurasa wa hitilafu badala ya YouTube unapoenda kwenye youtube.com, inaweza kuwa ni kwa sababu mojawapo kati ya zifuatazo:

  • Inaweza kuwa ni hitilafu kwenye muunganisho wako. Hakikisha kuwa unaweza kufikia tovuti nyingine kama kawaida.
  • Ikiwa unatumia kikoa cha Programu za Google, huenda msimamizi wa kikoa chako hajawasha YouTube. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka YouTube kama huduma.
  • Mtoa Huduma za Intaneti au msimamizi wako wa mtandao anaweza kuwa anazuia YouTube. Wasiliana na Mtoa Huduma za Intaneti au msimamizi wako wa mtandao ili upate maelezo zaidi.

Kudhibiti maudhui wakati huna uwezo wa kufikia YouTube

Ikiwa una maudhui ya umma kwenye YouTube, bado unaweza kuyaficha au kuyaondoa hata ikiwa huwezi kufikia YouTube:

  1. Nenda kwenye Mipangilio ya Akaunti yako ya Google.
  2. Hakikisha unaingia katika akaunti ukitumia Akaunti ya Google ya chaneli yako ya YouTube.
  3. Chagua Dhibiti data yako na kuweka mapendeleo.
  4. Kwenye "Pakua au ufute data yako," bofya Futa huduma.
  5. Bofya Futa huduma.
  6. Kwenye orodha, bofya YouTube.
  7. Ikiwa chaneli yako imeunganishwa kwenye Akaunti ya Biashara, bofya aikoni yako kwenye sehemu ya juu kulia katika ukurasa. Unaweza kuchagua ukurasa ulio na maudhui ya YouTube ambayo ungependa kuyadhibiti. 
  8. Chagua ikiwa ungependa kuficha au kufuta maudhui na chaneli yako ya YouTube. Hakikisha unasoma kwa makini — ukifuta baadhi ya maudhui, hutaweza kuyarejesha.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
4908918229030325625
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false