Orodha za video za vipindi

Orodha ya video za kipindi inakuruhusu kuweka alama kuwa orodha yako ya kucheza ni kundi rasmi la video ambazo zinapaswa kutazamwa pamoja. Kuongeza video kwenye orodha ya video za kipindi kunaruhusu video nyingine katika orodha ya kucheza ziangaziwe na kupendekezwa wakati mtu anatazama video katika mfululizo. YouTube inaweza kutumia maelezo haya kubadilisha jinsi video zinavyoonyeshwa au kugunduliwa.

Kuna vidokezo vichache vya kukumbuka wakati unatumia orodha za video za vipindi:

  • Lazima uwe na akaunti iliyothibitishwa ili utumie orodha za video za vipindi.
  • Video haiwezi kuonekana kwenye zaidi ya orodha moja ya video za kipindi.
  • Video ulizopakia na ulizo na haki yake ndizo tu zinazoweza kuongezwa kwenye orodha ya video za kipindi.

Ili uwashe orodha ya video za kipindi, tembelea mipangilio ya orodha ya kucheza ukiwa kwenye kompyuta yako kisha uwashe “Weka iwe mfululizo rasmi wa orodha hii ya kucheza”.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
5070808411318915001
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false