Mpango wa Kuthibitisha Maudhui

YouTube imejitolea kuwasaidia wenye hakimiliki kutafuta na kuondoa maudhui yanayotuhumiwa kuwa yanakiuka hakimiliki kwenye mfumo wetu. Kwenye Mpango wa Kuthibitisha Maudhui, wenye hakimiliki wanaweza kutafuta maudhui wanayodhani yanakiuka hakimiliki na kuipa YouTube taarifa ya kutosha ili iyatafute na kuyaondoa.

Mpango wa Kuthibitisha Maudhui umebuniwa haswa kwa ajili ya kampuni zenye hakimiliki ili zitume zaidi ya ombi moja la kuondoa maudhui. Arifa za kampuni binafsi zinaweza kutumwa kwa kufuata maagizo yafuatayo.

Unaweza kujaza fomu hii ili uangalie ni zana ipi inakufaa kulingana na mahitaji yako ya udhibiti wa hakimiliki.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
14898948512462136511
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false