Barua Pepe ya Maswali ya Biashara

Unaweza kutuma na kupokea ujumbe wa barua pepe kwa kutumia Barua Pepe za Maswali ya Biashara ili uwasiliane na hadhira yako. Weka maelezo yako ya mawasiliano kwenye kituo chako ili upate ujumbe wa barua pepe.

Kumtumia mtu barua pepe kupitia Barua Pepe za Maswali ya Biashara:

  1. Nenda kwenye Kituo cha YouTube ambacho ungependa kukitumia barua pepe.
  2. Chagua kichupo cha Kuhusu kwenye kituo chake.
  3. Ikiwa Barua Pepe ya Maswali ya Biashara ipo, chagua “Angalia Anwani ya Barua Pepe.” Ikiwa huoni Barua Pepe ya Maswali ya Biashara, basi mmiliki wa kituo hicho hakuiweka.
  4. Tumia anwani ya barua pepe kutuma ujumbe kwenye kituo.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
11666031470321126303
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false