Kubadilisha mipangilio ya video

Baada ya kupakia video, unaweza kubadilisha maelezo ya video yako kwenye Studio ya YouTube. Badilisha kila kitu iwe ni jina la video au mipangilio ya manukuu na maoni. Pata maelezo kuhusu kufanya mabadiliko mengi kwenye video.

Programu ya Studio ya YouTube kwenye Android

  1. Fungua programu ya Studio ya YouTube .
  2. Kwenye menyu ya chini, gusa Maudhui .
  3. Chagua video ambayo ungependa kubadilisha.
  4. Gusa Hariri Edit icon.
  5. Badilisha mipangilio ya video kisha uguse HIFADHI.

Programu ya YouTube kwenye Android

  1. Fungua programu ya YouTube .
  2. Gusa picha yako ya wasifu .
  3. Katika sehemu ya chini, gusa Video zako.
  4. Karibu na video ambayo ungependa kuhariri, gusa Zaidi '' kisha Hariri Edit icon.

  5. Fanya mabadiliko kwenye mipangilio yako kisha uguse Hifadhi.

Pata vidokezo vya kuhariri video vya watayarishi.

Mipangilio ya video inayopatikana

Mipangilio ifuatayo inaweza kubadilishwa kwenye programu YouTube:

  • Jina
  • Maelezo
  • Uonekanaji
  • Uchumaji wa mapato
  • Hadhira
  • Orodha ya kucheza
  • Lebo
  • Uandaaji mseto wa Video fupi
  • Aina
  • Maoni
  • Leseni na Usambazaji
  • Futa

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
3469787474259398546
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false