Ukiongeza video kwenye orodha ya Tazama Baadaye, utaweza kuzipata kwa urahisi wakati wowote.
Fuatilia Chaneli ya Watazamaji wa YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.
Kuweka maudhui kwenye orodha ya kucheza ya Tazama Baadaye
- Unapotazama video: Bofya Zaidi
Tazama Baadaye.
- Unapotazama Video fupi: Bofya Zaidi
Hifadhi kwenye orodha ya kucheza
Tazama Baadaye.
- Unapovinjari video: Elekeza kwenye kijipicha cha video na ubofye Tazama Baadaye
.
Kuondoa maudhui kwenye orodha yako ya video ya Tazama Baadaye
- Kwenye Mwongozo, bofya Wasifu.
- Chini ya "Tazama Baadaye", bofya Zaidi
chini ya video ambayo ungependa kuondoa.
- Bofya Ondoa kwenye orodha ya Tazama Baadaye
.
Ikiwa video imebainishwa kuwa inalenga watoto, huwezi kuiweka kwenye orodha ya video au kuihifadhi katika orodha ya Tazama Baadaye.