Sampuli za ujumbe zinaonyesha jinsi ya kuwasiliana kuhusu matoleo mapya na uondoaji wa utiririshaji wenye matangazo, YouTube Premium na Content ID. Sampuli zote zinalingana na toleo la 3.8 la DDEX ERN.
Rekodi za Sauti - Uwasilishaji wa albamu
Faili hizi za sampuli zinafuata muundo wa wasifu wa Albamu ya Sauti na zinapaswa kutumiwa katika uwasilishaji kulingana na kila toleo. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuchagua wasifu wa toleo.
Sampuli ya Toleo Jipya | Sampuli ya Uondoaji | |
---|---|---|
YouTube Premium | 721620118165_yt_premium.xml | 721620118165_yt_premium_takedown.xml |
Content ID | 721620118165_content_id.xml | 721620118165_content_id_takedown.xml |
Mipasho Mseto (YouTube Premium na Content ID) |
721620118165_combined.xml | 721620118165_combined_takedown.xml |
Muziki wa Watayarishi | 721620118165_creator_music_takedown.xml | |
Mipasho Iliyojumuishwa ya YouTube Premium, Content ID na Muziki wa Watayarishi | 721620118165_ytpremium_contentid_creatormusic_combined.xml | 721620118165_ytpremium_contentid_creatormusic_combined_takedown.xml |
Rekodi za Sauti - Uwasilishaji wa nyimbo
Faili hizi za sampuli zinafuata muundo wa wasifu wa Toleo la Nyenzo Moja na zinapaswa kutumiwa katika uwasilishaji kulingana na kila wimbo. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuchagua wasifu wa toleo.
Sampuli ya Toleo Jipya | Sampuli ya Uondoaji | |
---|---|---|
Content ID | USGCV1172318_content_id.xml | USGCV1172318_content_id_takedown.xml |
Muziki wa Watayarishi | USGCV1172318_creator_music.xml | USGCV1172318_creator_music_takedown.xml |
Mipasho Iliyojumuishwa ya Content ID na Muziki wa Watayarishi | USGCV1172318_contentid_creatormusic_combined.xml | USGCV1172318_contentid_creatormusic_combined_takedown.xml |
Video za Muziki
Faili hizi za sampuli zinafuata wasifu wa Video ya Singo na zinapaswa kutumiwa katika uwasilishaji kulingana na kila video.
Sampuli ya Toleo Jipya | Sampuli ya Sasisho | |
---|---|---|
Upakiaji wa Video ya Muziki | music_video_only.xml | music_video_only_update.xml |
Content ID | QZ6RS1700001_music_video_content_id_only.xml | QZ6RS1700001_music_video_content_id_only_update.xml |
Mipasho Mseto (Upakiaji wa Video ya Muziki na Content ID) |
QZ6RS1700001_music_video_content_id_combined.xml | QZ6RS1700001_music_video_content_id_combined_update.xml |
Video za Wavuti
Faili hizi za sampuli zinafuata wasifu wa Video ya Singo na zinapaswa kutumiwa katika uwasilishaji kulingana na kila video.
Sampuli ya Toleo Jipya | Sampuli ya Sasisho | |
---|---|---|
Upakiaji wa Video ya Wavuti | web_video_only.xml | web_video_only_update.xml |
Content ID | web_video_content_id_only.xml | web_video_content_id_only_update.xml |
Mipasho Mseto (Upakiaji wa Video ya Wavuti na Content ID) |
web_video_content_id_combined.xml | web_video_content_id_combined_update.xml |
<ReleaseId>
.Jedwali lililo hapa chini linaashiria wakati ambao vipengele husika vya <ProprietaryId>
vinapaswa kuwasilishwa.
Utambulisho wa Video | Kitambulisho cha Kituo | Kitambulisho cha Kipengee | |
---|---|---|---|
Kuwasilisha video mpya | Hairuhusiwi | Sharti ijazwe | Si lazima |
Kudai video iliyopo | Sharti ijazwe | Si lazima | Si lazima |
Kubuni alama bainifu kutoka kwenye video iliyopo | Sharti ijazwe | Si lazima | Si lazima |
Upakiaji wa Marejeleo au Alama Bainifu pekee | Hairuhusiwi | Hairuhusiwi | Si lazima |
Usasishaji wa kipengee pekee | Hairuhusiwi | Hairuhusiwi | Si lazima |
Ripoti za hali za uwasilishaji wa DDEX
Kuanzia 2018, YouTube itaanza kutumia kiwango cha DDEX FtpAcknowledgementMessage katika ripoti zote za hali za DDEX. Angalia hati ya Kiwango cha Koreografia cha ERN ili upate maelezo zaidi kuhusu ujumbe huu.
Ripoti ya Kifurushi ambayo Imekamilika | Ripoti ya Kifurushi ambayo Haijakamilika | |
---|---|---|
YouTube Premium | ACK_721620118178.xml | ACK_721620118178_failed.xml |