Orodha ya Ofa

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika wanaotumia Kidhibiti Maudhui cha YouTube kudhibiti maudhui yao yaliyo na hakimiliki.

<DealList> hufafanua maelezo muhimu ya kibiashara kwa kila toleo, kama vile maeneo ambako toleo linaweza kupatikana, haki za matumizi na tarehe ya kuanza au kukamilika kwa kila toleo. Kila kipengele cha <ReleaseDeal> hufafanua ofa za toleo kwenye <ReleaseList>, inayorejelewa na <ReleaseReference> yake.

Kubainisha ofa za YouTube Premium pekee

Kwenye YouTube, utiririshaji hufanywa kulingana na wimbo. Tunaweza tu kuchakata ofa za wimbo binafsi, ambapo <ReleaseType> ni TrackRelease.

Ni lazima <DealTerms> ikabidhi YouTube haki za usajili na utiririshaji unaoruhusu matangazo. Ni lazima sheria and masharti yajumuishe vipengele viwili vya <CommercialModelType> (SubscriptionModel na AdvertisementSupportedModel) vilivyo na <UseType> ya Mtiririko au OnDemandStream. YouTube hupuuza ofa zozote za aina nyingine za matoleo na masharti yoyote mengine ya ofa.


Iwapo <DealTerms> haibainishi tarehe ya kuanza kutumika, ofa itaanza kutumika pindi tu tutakapopokea ujumbe wa ERN. Iwapo <DealTerms> haibainishi tarehe ya mwisho, ofa itatumika kwa muda usio na kikomo hadi ibainishwe vinginevyo. Video itachapishwa kiotomatiki tarehe <StartDate> (au <StartDateTime> ikibainishwa) na kwa kipindi cha <ValidityPeriod>.

Kwa maelezo kuhusu Tarehe za Kuanza au Kuisha na saa za eneo za matoleo ya maeneo mengi, tafadhali rejelea hati ya DDEX.
YouTube inaruhusu misimbo ya nchi ya ISO 3166-1 alpha-2 ya kipengele cha <TerritoryCode>. Kiwango hiki cha ISO ni kipya zaidi kuliko kiwango cha ISO 3166-1 kilichobainishwa katika kiwango cha DDEX ERN. Ukijumuisha msimbo wa nchi ambao hautumiki tena katika ISO 3166-1 alpha-2, YouTube itaupuuza.

Mfano ufuatao unaonyesha <DealList> kwa wimbo mmoja ulio na tarehe tofauti za kutolewa nchini Marekani na Kanada.

<DealList>

  <ReleaseDeal>

    <DealReleaseReference>R1</DealReleaseReference>

    <Deal>

      <DealTerms>

        <CommercialModelType>SubscriptionModel</CommercialModelType>

        <CommercialModelType>AdvertisementSupportedModel</CommercialModelType>

        <Usage>

          <UseType>OnDemandStream</UseType>

        </Usage>

        <TerritoryCode>US</TerritoryCode>

        <ValidityPeriod>

          <StartDate>2010-05-18</StartDate>

        </ValidityPeriod>

      </DealTerms>

    </Deal>

    <Deal>

      <DealTerms>

        <CommercialModelType>SubscriptionModel</CommercialModelType>

        <CommercialModelType>AdvertisementSupportedModel</CommercialModelType>

        <Usage>

          <UseType>OnDemandStream</UseType>

        </Usage>

        <TerritoryCode>CA</TerritoryCode>

        <ValidityPeriod>

          <StartDate>2010-05-20</StartDate>

        </ValidityPeriod>

      </DealTerms>

    </Deal>

  </ReleaseDeal>

</DealList>

Kubainisha ofa za Content ID pekee

Ili uwashe Rekodi ya Sauti katika Content ID pekee, tuma mipasho ya Toleo lenye Nyenzo Moja au mipasho ya Albamu ya Sauti pamoja na YouTube_ContentID kama MessageRecipient pekee.

Ili ubuni faili ya marejeleo ya Content ID, ni lazima <Deal> ya wimbo ibainishe sera ya zinazolingana ambayo YouTube inapaswa kutekeleza kwenye maudhui yanayolingana ambayo yalipakiwa na watumiaji wengine. Ili utekeleze sera ya zinazolingana kwenye faili yako ya marejeleo, unaweza:

  • Kurejelea Sera iliyopo Iliyohifadhiwa kutoka kwenye akaunti yako ya Mfumo wa Kudhibiti Maudhui (CMS) ukitumia lebo ya <DealReference> au
  • Kufafanua sera maalum ya zinazolingana ukitumia lebo ya <RightsClaimPolicy>

Kutekeleza sera iliyohifadhiwa ya zinazolingana

Ili utekeleze sera iliyohifadhiwa ya zinazolingana, tumia lebo ya <DealReference> yenye jina la sera, iliyo kwenye Ukurasa wa sera katika akaunti yako ya Mfumo wa Kudhibiti Maudhui (CMS). Sera yako iliyohifadhiwa itaanza kwa “YT_MATCH_POLICY:”.

Kwa mfano, ikiwa una sera yenye jina “Sera Yangu Iliyohifadhiwa” kwenye Mfumo wa Kudhibiti Maudhui (CMS), unaweza kuitekeleza ukitumia msimbo ulio hapa chini.

<ReleaseDeal>

  <DealReleaseReference>R0</DealReleaseReference>

  <Deal>

    <DealReference>YT_MATCH_POLICY:My Saved Policy</DealReference>

  </Deal>

</ReleaseDeal>

Ili utumie sera chaguomsingi ya zinazolingana kwenye akaunti yako ya Mfumo wa Kudhibiti Maudhui (CMS), tumia msimbo ulio hapa chini ili uweke <DealReference> iwe “YT_DEFAULT_MATCH_POLICY”.

<ReleaseDeal>

  <DealReleaseReference>R0</DealReleaseReference>

  <Deal>

    <DealReference>YT_DEFAULT_MATCH_POLICY</DealReference>

  </Deal>

</ReleaseDeal>

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka mipangilio ya sera iliyohifadhiwa ya zinazolingana.

Kufafanua sera maalum ya zinazolingana

Ili utekeleze sera maalum ya zinazolingana, ni lazima ujumuishe <RightsClaimPolicy>  na uweke <CommercialModelType> iwe RightsClaimModel na <UseType> iwe UserMakeAvailableUserProvided.

XML iliyo hapa chini itatumia sera ya zinazolingana ya Chuma mapato licha ya eneo ambako mtumiaji yupo:

<DealTerms>

  <CommercialModelType>RightsClaimModel</CommercialModelType>

  <Usage>

    <UseType>UserMakeAvailableUserProvided</UseType>

  </Usage>

  <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>

  <ValidityPeriod />  <!-- Inatumika mara moja na hadi utakapoarifiwa tena. -->

  <RightsClaimPolicy>

    <RightsClaimPolicyType>Monetize</RightsClaimPolicyType>

  </RightsClaimPolicy>

</DealTerms>

Unaweza pia kutumia sera zenye masharti ukitumia lebo ya <Condition>. Sera zenye masharti zinatumiwa tu iwapo kipindi cha kulingana au asilimia inazidi au inapungua upeo uliobainishwa.

XML iliyo hapa chini itatumia sera ya zinazolingana ya Chuma mapato, lakini iwapo tu kipindi cha zinazolingana kinazidi asilimia 90 ya kipindi cha faili ya marejeleo:

<DealTerms>

  <CommercialModelType>RightsClaimModel</CommercialModelType>

  <Usage>

    <UseType>UserMakeAvailableUserProvided</UseType>

  </Usage>

  <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>

  <ValidityPeriod />  <!-- Inatumika mara moja na hadi utakapoarifiwa tena. -->

  <RightsClaimPolicy>

    <Condition>

      <Value>90</Value>

      <Unit>Percent</Unit>

      <!-- Hubainisha iwapo asilimia hiyo inarejelea nakala ya marejeleo au maudhui yaliyozalishwa na watumiaji (UGC) (ReferenceResource or ConsumerResource)-->

      <!-- Added in ERN v3.8.2 -->

      <ReferenceCreation>ReferenceResource</ReferenceCreation>

      <RelationalRelator>MoreThanOrEqualTo</RelationalRelator>

    </Condition>

    <RightsClaimPolicyType>Monetize</RightsClaimPolicyType>

  </RightsClaimPolicy>

</DealTerms>

Ofa mseto za YouTube Premium na Content ID

  • Ili uwashe Rekodi ya Sauti katika Content ID na YouTube Premium, tuma mipasho ya Albamu ya Sauti ambayo imeweka YouTube na YouTube_ContentID kuwa MessageRecipients. Jumuisha ofa za Content ID na YouTube Premium.
  • Ili uwashe Video ya Muziki katika Content ID na YouTube Premium, tuma mipasho ya Video Moja ambayo imeweka YouTube na YouTube_ContentID kuwa MessageRecipients. Jumuisha ofa za Content ID na YouTube Premium.

Ili ujumuishe YouTube Premium na Content ID <DealTerms> katika mpasho mmoja ukitumia wasifu wa Albamu ya Sauti, seti zote mbili za ofa zinapaswa kuunganishwa kwenye matoleo ambapo <ReleaseType> imewekwa kuwa TrackRelease.

Kijisehemu cha XML kilicho hapa chini kitawezesha wimbo Kote Duniani kwenye YouTube Premium na Content ID.

<DealList>

  <ReleaseDeal>

    <DealReleaseReference>R1</DealReleaseReference>

    <!-- This deal is for YouTube Premium. -->

    <Deal>

      <DealTerms>

        <CommercialModelType>SubscriptionModel</CommercialModelType>

        <CommercialModelType>AdvertisementSupportedModel</CommercialModelType>

        <Usage>

          <UseType>OnDemandStream</UseType>

        </Usage>

        <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>

        <ValidityPeriod>

          <StartDate>2016-05-18</StartDate>

        </ValidityPeriod>

      </DealTerms>

    </Deal>

    <!-- Ofa hii ni ya Content ID. -->

    <Deal>

      <DealTerms>

        <CommercialModelType>RightsClaimModel</CommercialModelType>

        <Usage>

          <UseType>UserMakeAvailableUserProvided</UseType>

        </Usage>

        <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>

        <ValidityPeriod/>

        <RightsClaimPolicy>

          <RightsClaimPolicyType>Monetize</RightsClaimPolicyType>

        </RightsClaimPolicy>

      </DealTerms>

    </Deal>

  </ReleaseDeal>

</DealList>

Kubainisha ofa za Muziki Kwa Watayarishi wa YouTube pekee

Ili uwashe Rekodi iliyopo ya Sauti kwa Muziki wa Watayarishi pekee, tuma mipasho ya Toleo lenye Nyenzo Moja au mipasho ya Albamu ya Sauti ukiwa umeweka YouTube_CreatorMusic kuwa MessageRecipient pekee. Ni lazima kipengee cha Rekodi ya Sauti kiwe tayari kwenye Kidhibiti Maudhui ili mipasho hii ikubalike.

Ili uwasilishe mikakati ya leseni ya Muziki wa Watayarishi, tumia lebo ya <DealReference> kurejelea mkakati uliohifadhiwa wa leseni kwenye akaunti yako ya Mfumo wa Kudhibiti Maudhui (CMS). Unaweza kuweka mkakati mmoja wa leseni ya chaneli na mkakati mmoja wa leseni ya mfumo kwenye kila rekodi ya sauti.

Mfano huu wa XML unaonyesha jinsi ya kuweka mkakati wa leseni wa mfumo na wa chaneli:

<DealList>

  <ReleaseDeal>

    <DealReleaseReference>R0</DealReleaseReference>

    <Deal>

      <DealReference>YT_PLATFORM_LICENSE_STRATEGY:Saved Platform Strategy Name</DealReference>

      <DealReference>YT_CHANNEL_LICENSE_STRATEGY:Saved Channel Strategy Name</DealReference>

    </Deal>

  </ReleaseDeal>

</DealList>

Ofa mseto za YouTube Premium, Content ID na Muziki wa Watayarishi

Ili uwashe Rekodi ya Sauti katika YouTube Premium, Content ID na Muziki wa Watayarishi, ni lazima utume mipasho ya Albamu ya Sauti iliyo na MessageRecipients tatu (YouTube, YouTube_ContentID na YouTube_CreatorMusic). Jumuisha ofa za Content ID, YouTube Premium na Muziki wa Watayarishi.

 Ili uweke YouTube Premium, Content ID na Muziki wa Watayarishi <DealTerms> katika mipasho moja ukitumia wasifu wa Albamu ya Sauti, seti tatu za ofa zinapaswa kuunganishwa na matoleo ambapo <ReleaseType> imewekwa kuwa TrackRelease.

Mfano wa XML ulio hapa chini huwezesha wimbo Kote Duniani kwenye YouTube Premium na Content ID na huweka mikakati ya leseni inayolingana na chaneli na mfumo katika Muziki wa Watayarishi.

<DealList>

  <ReleaseDeal>

    <DealReleaseReference>R1</DealReleaseReference>

    <!-- This deal is for YouTube Premium. -->

    <Deal>

      <DealTerms>

        <CommercialModelType>AdvertisementSupportedModel</CommercialModelType>

        <CommercialModelType>SubscriptionModel</CommercialModelType>

        <Usage>

          <UseType>OnDemandStream</UseType>

        </Usage>

        <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>

        <ValidityPeriod>

          <StartDate>2017-01-12</StartDate>

        </ValidityPeriod>

      </DealTerms>

    </Deal>

    <!-- Ofa hii ni ya Content ID. -->

    <Deal>

      <DealTerms>

        <CommercialModelType>RightsClaimModel</CommercialModelType>

        <Usage>

          <UseType>UserMakeAvailableUserProvided</UseType>

        </Usage>

        <TerritoryCode>Worldwide</TerritoryCode>

        <ValidityPeriod/>

        <RightsClaimPolicy>

          <RightsClaimPolicyType>Monetize</RightsClaimPolicyType>

        </RightsClaimPolicy>

      </DealTerms>

    </Deal>

    <!-- This deal is for Creator Music -->

    <Deal>

      <DealReference>YT_PLATFORM_LICENSE_STRATEGY:Saved Platform Strategy Name</DealReference>

<DealReference>YT_CHANNEL_LICENSE_STRATEGY:Saved Channel Strategy Name</DealReference>

    </Deal>

  </ReleaseDeal>

</DealList>

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
6108022314527028983
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false