Kuweka sera chaguomsingi

Features described in this article only apply to users of YouTube Studio Content Manager. For info on general YouTube policies, learn more here.

Sera chaguomsingi hutumiwa wakati hali haitimizi masharti yanayobainishwa katika sera maalum.

Kwa mfano, YouTube hutumia sera yako chaguomsingi ya kupakia kwenye video ambazo umepakia katika vituo vyako. Content ID hutumia sera yako chaguomsingi ya zinazolingana wakati inadai video kwenye kipengee ambacho hakina sera maalum ya zinazolingana.

Kuweka sera chaguomsingi huharakisha mchakato wa kupakia na kudai maudhui. Unaweza kuweka sera zote mbili za upakiaji chaguomsingi na ulinganishaji chaguomsingi.

Iwapo hutachagua sera chaguomsingi ya zinazolingana au ya upakiaji, sera iliyobainishwa mapema ya Chuma katika nchi zote itatumika.

Kuweka sera chaguomsingi

  1. Ingia katika akaunti ya Kidhibiti Maudhui cha Studio.
  2. Upande wa menyu ya kushoto, chagua Sera .
  3. Pata sera ambayo ungependa kuweka iwe sera chaguomsingi.
    • Unaweza kubainisha sera chaguomsingi za sasa kwa kutumia lebo ya Upakiaji chaguomsingi  
       na lebo ya Ulinganishaji chaguomsingi  karibu na majina ya sera.
  4. Kwenye safu wima ya kulia, bofya menyu kunjuzi ya Chagua kitendo .
  5. Chagua Weka kuwa upakiaji chaguomsingi au Weka kuwa ulinganishaji chaguomsingi.
    • Sera mpya chaguomsingi sasa zitawekewa lebo ya Upakiaji chaguomsingi  au Ulinganishaji chaguomsingi  karibu na majina yake.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
3012850604779759824
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false