Kuangalia au kurekebisha historia yako ya ununuzi

Kuangalia na kurekebisha ununuzi

Shughuli zako za ununuzi kwenye YouTube, kama vile video unazonunua na huduma ambako umejisajili, husaidia Google kukupa hali ya matumizi inayokufaa zaidi kwenye huduma zote za Google. Kwa mfano, kugundua video na vituo vipya utakavyofurahia.

Unaweza kufuta data hii yote au baadhi yake. Hatua ya kufuta inaweza kupunguza au kuzima matumizi ya data hii kwa ajili ya kukupa hali ya matumizi inayokufaa zaidi lakini data itaendelea kuwekwa katika Akaunti yako ya Google. Unaweza kuona ununuzi wako kwenye YouTube katika maktaba yako.

Kuficha ununuzi

Kwa sasa huwezi kuficha ununuzi kwenye historia yako ya ununuzi.

Kutatua matatizo ya utozaji kwenye YouTube

Bofya kitufe kilicho hapa chini ili utatue au upate maelezo kuhusu malipo yako kwenye YouTube.

KUTATUA MATATIZO YA UTOZAJI KWENYE YOUTUBE

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
4356152801894029615
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false