Kuthibitisha siku yako ya kuzaliwa

Unaweza kuthibitisha umri wako kwenye Akaunti ya Google kwa kufuata hatua hizi:

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

  1. Ingia katika ukurasa wa faragha wa Akaunti yako ya Google.
  2. Bofya Taarifa binafsi.
  3. Bofya Siku ya kuzaliwa.
  4. Thibitisha au usasishe kulingana na mahitaji.
  5. Bofya Hifadhi.

Ikiwa unatumia m.youtube.com, huenda ukahitajika kuondoka kwenye akaunti na kisha kuingia tena katika akaunti baada ya kuthibitisha umri wako. Pata maelezo zaidi kuhusu masharti ya umri kwenye akaunti za Google.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
7739549654786269933
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false