Kuunganisha kwenye akaunti yako ya SFTP dropbox

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika wanaotumia Kidhibiti Maudhui cha YouTube kudhibiti maudhui yao yaliyo na hakimiliki.

Baada ya msimamizi wako wa washirika wa YouTube kuweka mipangilio ya kisanduku chako cha jumla, utahitaji kubuni muunganisho unaoweza kutumiwa tena kati ya kiteja chako cha SFTP na seva yako ya kisanduku cha jumla. Makala haya yanafafanua jinsi ya kubuni muunganisho kwa kutumia Cyberduck, lakini unaweza kutumia programu yoyote ya kiteja ambayo inaruhusu miunganisho ya SFTP.

Ili kubuni muunganisho wa SFTP:

  1. Pakua kisha usakinishe Cyberduck.

  2. Tekeleza programu ya Cyberduck.

  3. Chagua Faili > Fungua Muunganisho​.

  4. Chagua SFTP (Itifaki ya Kutumia Faili ya SSH) kutoka kwenye menyu kunjuzi.

  5. Katika kisanduku cha maandishi cha Seva, andika partnerupload.google.com.

  6. Katika kisanduku cha maandishi cha Mlango, andika 19321

  7. Katika kisanduku cha maandishi cha Jina la mtumiaji, andika jina la kisanduku chako cha jumla.
    Jina la kisanduku cha jumla huanza kwa “yt-” na liliwekwa kwa niaba yako na msimamizi wako wa washirika.

  8. Panua sehemu ya Chaguo zaidi.

  9. Teua kisanduku cha Tumia Uthibitishaji wa Ufunguo wa Umma.

  10. Chagua faili ya ufunguo binafsi wa SSH ambayo ulibuni awali.

  11. Bofya Unganisha ili ufunge kidirisha cha mazunguzo kwenye mipangilio.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15152296116515164340
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false