Kupakia maudhui kwenye kisanduku chako cha jumla cha Aspera

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika wanaotumia Kidhibiti Maudhui cha YouTube kudhibiti maudhui yao yaliyo na hakimiliki.

Baada ya kuthibitisha metadata ya kifurushi cha kupakia, utakuwa tayari kupakia faili. Utapakia maudhui kwa kunakili faili zinazohitajika kwenye kisanduku chako cha jumla, kisha kutufahamisha kuwa ziko tayari kwa kubuni faili tupu inayoitwa delivery.complete.

Faili unazohitaji ili ukamilishe upakiaji zinategemea aina ya kipengee unachopakia. Lazima kila kazi ya kupakia ijumuishe faili ya metadata katika muundo wa XML au CSV na faili zozote mpya za maudhui ambazo faili ya metadata inarejelea kwa jina.

Tunapendekeza upakie vipengee vipya kimoja baada ya kingine, kila kipengee kikiwa katika folda yake ya kisanduku cha jumla na faili ya metadata. Kwa mfano, iwapo unapakia vipindi vitatu vya programu ya televisheni, buni folda tatu tofauti na faili tatu tofauti za metadata. Mbinu hii inarahisisha ufuatiliaji wa hatua za upakiaji na hudhibiti athari ya matatizo yoyote yanayotokea, bila athari yoyote kwenye kasi ya kuchakata upakiaji.

(Mbinu nyingine bora tunazopendekeza)
Muda wa matengenezo ya kila wiki ya visanduku vya jumla vya Aspera ni Jumatatu kuanzia saa 7 usiku hadi saa 11 alfajiri kwa saa za Pasifiki. Ukipakia maudhui wakati huo, huenda muunganisho wa programu yako ya kiteja cha Aspera ukakatika kutoka kwenye kisanduku cha jumla. Iwapo hali hii itatokea, unganisha tena kwenye kisanduku cha jumla baada ya dakika tano hadi kumi na uwasilishe upya faili kamili.

Ili upakie maudhui kwenye kisanduku cha jumla cha Aspera:

  1. Fungua programu yako ya kiteja cha Aspera.

  2. Chagua muunganisho wa kisanduku chako cha jumla katika kisanduku cha Muunganisho kilicho upande wa kulia, kisha ubofye kitufe cha Unganisha.

    Programu ya kiteja cha Aspera huunganisha kwenye kisanduku chako cha jumla na kuonyesha folda za kiwango cha juu.

    Iwapo bado hujaweka mipangilio ya muunganisho wa kisanduku chako cha jumla, angalia Kuunganisha kwenye kisanduku chako cha jumla cha Aspera.

  3. Buni folda mpya kwa kazi mpya ya upakiaji.

    Ili ubuni folda, bofya kulia kwenye folda kuu kisha uchague Mpya > Folda. Ili uepuke ukinzani unaoweza kutokea, tunapendekeza ubuni saraka mpya kila unapochapisha maudhui na ujumuishe muhuri wa wakati au kitambulisho cha kuongezeka katika kila jina la saraka.

  4. Nakili faili zote za kifurushi cha upakiaji kwenye folda mpya.

    Ili unakili faili kwenye folda, hakikisha kuwa folda unayokusudia imefunguliwa upande wa kulia, angazia faili kwenye kisanduku kilicho upande wa kushoto na ubofye kishale kinachoelekea kulia.

  5. Wakati faili zote zimenakiliwa, pakia faili ya delivery.complete kwenye folda sawa.

You must not add any new files to the directory or any of its subdirectories after posting the delivery.complete file. Depending on the size of the batch, it can take a few seconds or minutes before you notice the files being processed. Do not upload more than one delivery.complete file per batch.

After processing each upload batch, the upload engine posts a status report detailing the actions taken for each item in the batch. The report is named status-xml-filename, where xml-filename is the filename of your metadata file. The status report is placed in your dropbox in the same directory as the upload batch.

The time needed to process an upload batch and generate a status report varies depending on system load and the actions requested. For example, the system requires much less time to process updates to an asset's metadata than to process new reference files. The upload engine will also spend additional processing time on batches that generate failed actions, because the system retries certain failed actions to ensure that failures were not caused by transient conditions such as system downtime. In some cases, we may require more than one day to process an upload batch.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15742055368177135862
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false