Video kuondolewa au kuzuiwa kwa sababu ya wajibu wa kimkataba wa YouTube

YouTube hufanya makubaliano na baadhi ya wenye hakimiliki za muziki ili kuruhusu matumizi ya nyimbo na rekodi zao za sauti.

Kwa mujibu wa mikataba hii, huenda tukahitajika kuondoa video mahususi. Pia, tunaweza kuzuia video mahususi katika maeneo fulani, au huenda tukazuia video mahususi kurejeshwa baada ya arifa ya kukanusha kuwasilishwa.

Wakati mwingine, huenda hii ikamaanisha kuwa michakato ya rufaa za Content ID na  arifa ya kukanusha haitapatikana. Your account won't be penalized right now.

YouTube itakujulisha hili likitokea kwa mojawapo ya video zako. Tutakupa pia maelezo ya mawasiliano ya mlalamishi inapowezekana ili mjadiliane moja kwa moja.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1510284950345092988
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false