Kutafuta video zenye manukuu

Video zenye manukuu zitakuwa na maandishi ya “CC” chini ya muhtasari wa video kwenye matokeo ya utafutaji. Ikiwa ungependa matokeo ya utafutaji yaonyeshe video zenye manukuu pekee, washa kichujio hiki cha utafutaji:

  1. Weka maneno yako muhimu kwenye upau wa kutafutia wa YouTube kisha ubofye Tafuta  .
  2. Bofya Vichujio chuja matokeo .
  3. Bofya Manukuu/CC.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
8006167733112207774
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false