Ufaafu wa umri

Ununuzi wa filamu na vipindi vya televisheni

You must be 18 years or older to purchase content from YouTube.

Read how to manage account verification for purchases on YouTube.

Utazamaji wa filamu na vipindi vya televisheni

Baadhi ya video zinajumuisha ukadiriaji wa ufaafu wa umri kwenye ukurasa wa video. Video iliyo katika aina ya filamu na vipindi vya televisheni kwenye YouTube ikikadiriwa, ukadiriaji huo huonyeshwa chini ya kichezaji kando ya ukadiriaji wa Mshirika.

Ukadiriaji sahihi wa filamu na vipindi vya televisheni hutofautiana kulingana na nchi na hutolewa na Washirika wetu.

Ikiwa unaishi eneo la Umoja wa Ulaya (EU), nchi washirika katika Makubaliano ya Kiuchumi ya Ulaya (EEA), Uswisi au Uingereza

Kulingana na Agizo la Huduma za Maudhui ya Sauti na Video (AVMSD), huenda ukaombwa uthibitishe tarehe yako ya kuzaliwa ili ufikie video zenye mipaka ya umri. AVMSD hushughulikia maudhui yote ya sauti na video, ikiwa ni pamoja na mifumo ya kushiriki video.

Fuata vidokezo ili utume picha ya kitambulisho au kadi halali ya mikopo. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi uthibitishaji wa umri hufanya kazi.

Iwapo unaishi Australia

Unaweza kuombwa uthibitishe tarehe yako ya kuzaliwa ili ufikie video zenye mipaka ya umri. Hatua hii ya ziada inasimamiwa na Taarifa ya Usalama wa Mtandaoni wa Australia (Mifumo ya Ufikiaji Unaodhibitiwa). Taarifa hii inahitaji mifumo kuchukua hatua adilifu za kuthibitisha kuwa watumiaji ni watu wazima ili waweze kufikia maudhui ambayo huenda hayafai kwa watazamaji walio na umri wa chini ya miaka 18.

Fuata vidokezo ili utume picha ya leseni halali ya udereva, kadi ya Uthibitisho wa Umri, au pasipoti. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi uthibitishaji wa umri hufanya kazi.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
2235034377693710258
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false