"Video hii haipo kwenye kifaa hiki" ujumbe kuhusu hitilafu

Siwezi kuangalia video zangu kwenye vifaa vya mkononi

Ikiwa mwenye hakimiliki anaidai video yako, mmiliki anaweza kuchagua kuzuia kuonyesha video kwenye vifaa fulani (simu za mkononi/kompyuta kibao, Televisheni inayoweza kuunganisha kwenye intaneti na vifaa vya michezo ya video).

Ili upate maelezo kuhusu hali ya video yako na hatua unayoweza kuchukua, tembelea Kituo cha Hakimiliki cha YouTube. Unaweza pia kuangalia majibu kwa maswali ya kawaida kuhusu Content ID.

Siwezi kuangalia video za kituo kingine kwenye vifaa vya mkononi

Muundo wa usambazaji wa YouTube huruhusu washirika wanaochuma mapato kudhibiti mifumo ambako maudhui yanapatikana. Kwa maelezo zaidi, angalia Maswali ya Kawaida kuhusu Mipangilio ya Usambazaji.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
8317939409293863885
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false