Mabadiliko kwenye hadhi ya akaunti

Awali, akaunti za Google zilizokuwa na maonyo kwa kukiuka Mwongozo wa Jumuiya, maonyo ya hakimiliki au uzuiaji wa Content ID zingepoteza uwezo wa kufikia vipengele na mipango kadhaa ya akaunti.

Tumefanya mabadiliko katika utaratibu huu, kwa hivyo soma hapa chini ili upate mabadiliko kuhusu jinsi maonyo kwa kukiuka Mwongozo wa Jumuiya, maonyo ya hakimiliki na uzuiaji wa Content ID, yanavyoweza kuathiri akaunti yako ya Google.

Mwongozo wa maonyo

Ukipokea onyo la hakimiliki au onyo kwa kukiuka Mwongozo wa Jumuiya, bado utaweza kufikia vipengele na mipango mingi ya YouTube. Hata hivyo, maonyo ya akaunti yanaweza kuathiri uwezo wako wa kuchuma mapato kwenye chaneli yako. Iwapo huna uwezo wa kufikia vipengele fulani, huenda ukahitaji kuthibitisha akaunti yako.

Kumbuka mwongozo huu:

Iwapo unatatizika, pata maelezo kuhusu jinsi ya kupata usaidizi ukiwa Mtayarishi wa YouTube.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
11907369275585672748
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false