Masharti ya Jumla

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika wanaotumia Kidhibiti Maudhui cha YouTube kudhibiti maudhui yao yaliyo na hakimiliki.

Ili kuweza kupakia video kwenye YouTube kupitia SFTP au Aspera, utahitaji maelezo 4 yafuatayo ili uweke mipangilio ya akaunti yako ya kisanduku cha jumla:

  1. Jina la akaunti ya Google ambako video zako zitapakiwa. Hii inapaswa kuwa akaunti ya Google ambayo tayari imesajiliwa.
  2. Jina la akaunti ya kisanduku cha jumla. Hii inapaswa kutolewa na Meneja wa Masuala ya Kiufundi ya Akaunti ya YouTube.
  3. Ufunguo wa SSH unaotolewa kwa umma. Angalia maagizo kuhusu kuzalisha msimbo huu wa ufunguo kwenye mifumo mbalimbali na kuuongeza kwenye mipangilio ya akaunti yako ya kisanduku cha jumla kwenye YT kupitia Mfumo wa Kudhibiti Maudhui (CMS).
  4. Anwani ya barua pepe itakayotumiwa kukuarifu pindi video zitakapochapishwa kwenye tovuti baada ya kuwasilishwa kwenye kisanduku cha jumla. Hii inapaswa kuwa anwani mbadala ya barua pepe au orodha ya anwani zilizotenganishwa kwa koloni. Tutatumia anwani hizi za barua pepe kukuarifu kukitokea hitilafu.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16540176827986554050
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false