Kufungua akaunti kwenye YouTube

Ili uingie katika akaunti ya YouTube, utahitaji kufungua Akaunti ya Google. Akaunti ya Google inakuruhusu utumie vipengele vingi vya YouTube ikiwa ni pamoja na Kupenda, Kufuatilia, Tazama Baadaye na Historia ya Video Ulizotazama.

  1. Nenda kwenye YouTube.
  2. Katika sehemu ya juu kulia, bofya Ingia katika akaunti.
  3. Bofya Fungua Akaunti.
  4. Chagua Kwa matumizi yangu binafsi,Kwa mtoto wangu au Kwa kazi au biashara yangu.
Ukishaingia katika YouTube ukitumia Akaunti yako ya Google, unaweza kufungua chaneli ya YouTube kwenye akaunti yako. Chaneli za YouTube zinakuruhusu upakie video, utoe maoni na utayarishe orodha.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
6686539950514805492
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false