Kufungua akaunti kwenye YouTube

Ili uingie katika akaunti ya YouTube, utahitaji kufungua Akaunti ya Google. Akaunti ya Google inakuruhusu utumie vipengele vingi vya YouTube ikiwa ni pamoja na Kupenda, Kufuatilia, Tazama Baadaye na Historia ya Video Ulizotazama.

 

  1. Fungua programu ya YouTube.
  2. Katika sehemu ya juu kulia, gusa picha yako ya wasifu  .
  3. Gusa Ingia katika akaunti.
  4. Gusa Ongeza akaunti Zoom in .

Iwapo tayari umeingia kupitia Akaunti ya Google, lakini ungependa kufungua mpya:

  1. Fungua programu ya YouTube.
  2. Katika sehemu ya juu kulia, gusa picha yako ya wasifu  .
  3. Gusa Weka akaunti Zoom in.
Ukishaingia katika YouTube kupitia Akaunti yako ya Google, unaweza kufungua chaneli ya YouTube kwenye akaunti yako. Chaneli za YouTube zinakuruhusu upakie video, utoe maoni na kutunga orodha za kucheza. 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1499893421908066888
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false