Kuona manukuu ya video

Unaweza kuona manukuu kamili ya video yoyote iliyo na manukuu. Hii ni muhimu ikiwa ungependa kusoma kwa kufuatilia video au kupata sehemu maalum katika video. Unaweza pia kuruka hadi sehemu mahususi katika video kwa kugusa mstari wowote wa maandishi ya manukuu.

  1. Kwenye maelezo ya video, bofya Onyesha manukuu. Unapoendelea kutazama video, manukuu yatasogezwa ili kukuonyesha maandishi ya sasa ya manukuu.
  2. Bofya mstari wowote wa maandishi ya manukuu ili uende katika sehemu hiyo ya video.

Unaweza pia kutumia manukuu kupata sura za video ikiwa zinapatikana na maelezo mengine, kama vile maeneo na watu waliotajwa kwenye video na bidhaa za washirika.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
2261398343807757684
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false