Kuweka kijipicha cha orodha

Ili uwekee orodha zako mapendeleo, unaweza kuweka kijipicha maalum. Kijipicha chako kinaweza kuwa picha uliyonayo kwenye kifaa chako, picha mpya unayopiga ukitumia kamera yako au unayobuni kwa kutumia akiliunde (AI).

Kubuni kijipicha maalum

Kutumia picha

  1. Fungua orodha yako.
  2. Chagua Hariri .
  3. Teua Chagua kwenye maktaba .
  4. Chagua picha ambayo ungependa kutumia kama kijipicha cha orodha.
  5. Pia unaweza kuweka maandishi, madoido au vibandiko kwenye picha yako.

Upload and design your own YouTube playlist cover feat. Megha Singh 💄🪞

Kupiga picha

  1. Fungua orodha yako.
  2. Chagua Hariri .
  3. Chagua Piga picha .
  4. Pia unaweza kuweka maandishi, madoido au vibandiko kwenye picha yako.

Kubuni ukitumia AI

  1. Fungua orodha yako.
  2. Chagua Hariri .
  3. Chagua Buni ukitumia AI .
  4. Chagua mandhari ili upate chaguo.
  5. Ukipenda, badilisha maneno machache kwenye maelezo ili upate chaguo zaidi.
  6. Chagua Buni.

Create your own YouTube playlist cover with AI feat. Xia Capretta 🌹🎨

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
15155340168982989107
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false