Upatikanaji wa NFL Game Pass

NFL Game Pass inapatikana tu nchini Australia, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza.

NFL Game Pass inajumuisha kila mchezo mubashara wa NFL, kama vile NFL RedZone, michezo ya Jumatatu, Alhamisi, Jumapili na zaidi. Pia, mechi zilizofupishwa za michezo yote zitapatikana ili zitazamwe na mashabiki saa 24 baada ya kumaliza kuonyeshwa. 

UINGEREZA PEKEE: Kwa sababu ya haki za utangazaji za eneo nchini Uingereza, michezo na maudhui fulani yanaweza kuwekewa vizuizi vya kila wiki. Kila Jumapili, wakati wa Msimu wa Kawaida, michezo miwili itawekewa vizuizi wakati michezo inaonyeshwa mubashara.

Michezo isiyo na vizuizi:

  • Michezo yote ya Jumatatu na Alhamisi usiku
  • Michezo yote ya Siku ya Shukrani nchini Marekani
  • Michezo yote ya Mchujo 
  • Super Bowl 
  • Michezo yoyote ya baada ya msimu 
Kumbuka: Vizuizi vya ziada vya mchezo vinaweza kuwekwa katika msimu mzima kutokana na haki za utangazaji za eneo.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17752583914133257621
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false