Kuruhusu takwimu zinazoshirikiwa na wengine

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika ambao hutumia Kidhibiti Maudhui cha Studio ya YouTube. Wasiliana na Msimamizi wako wa Washirika wa YouTube ili uweze kuvitumia.

Sekta na maeneo fulani yana mashirika ambayo huripoti kuhusu hadhira iliyofikiwa na maudhui na matangazo. Ripoti kutoka kwa mawakala wengine zinaweza kuonyesha utendaji wako katika vyombo vingine vya habari na kuwasaidia watangazaji kukulipa kadri ya kiwango chako.

Kuweka mipangilio kuhusu takwimu zinazoshirikiwa na wengine

  1. Ingia katika akaunti ya Kidhibiti Maudhui cha Studio.
  2. Kwenye menyu ya kushoto, bofya Mipangilio .
  3. Katika sehemu ya Muhtasari nenda kwenye Takwimu zinazoshirikiwa na wengine.
  4. Kando ya takwimu za utazamaji kulingana na mmiliki, chagua ikiwa ungependa takwimu za utamazaji wa video zinazohusiana na Kidhibiti chako cha Maudhui ziripotiwe kwa wahusika wengine:
    • Washa: (chaguomsingi) Huruhusu takwimu za utazamaji wa video kuonekana katika ripoti za wahusika wengine. Bainisha jina unalotaka lionyeshwe kwenye ripoti katika kisanduku cha Jina litakaloonyeshwa kwenye takwimu.
    • Zima: Hairuhusu takwimu za utazamaji wa video kuonekana katika ripoti za wahusika wengine.
  5. Ukichagua Washa takwimu za utazamaji kulingana na mmiliki, nenda kwenye Maelezo ya chaneli chini yake kisha uteue chaguo moja kati ya zifuatazo:
    • Washa: :Huruhusu uchanganuzi wa takwimu kulingana na kila chaneli.
    • Zima: (chaguomsingi) Hairuhusu uchanganuzi wa takwimu kwa kila chaneli.
  1. Bofya HIFADHI.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
13086207956498984776
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false