Kutiririsha mubashara tangazo la mtangazaji

YouTube inafuraha kutiririsha mubashara maudhui na baadhi ya washirika wetu tunaowathamini sana lakini ni sharti washirika wetu wawajibike. Hapo chini utapata mbinu zetu bora zinazohusu kutiririsha mubashara maudhui kwenye tovuti yetu. Tunatarajia kwamba utafanya juhudi za nia njema kutii mwongozo huu:

  • Mtangazaji, anayetoa ofa au kampuni ya uzalishaji ina wajibu wa kulinda na kuhakikisha kwamba ina haki zote ambazo inahitaji ili kutangaza kwa njia halali mtiririko mubashara kwenye YouTube. Haki hizi ni pamoja na lakini si tu:
    • Utendaji kwa umma
    • Utoaji wa leseni ya muziki
    • Haki nyingine za umaarufu
  • Kuna kikomo cha uhuishaji cha sekunde 30 kwa mitiririko mubashara inayoonyeshwa kwenye bango kuu la ukurasa wa kwanza. Mtazamaji anaweza kubofya tangazo hilo na atazame mtiririko mzima mubashara kwenye bango kuu lililopanuliwa au kubofya ili aende kwenye chaneli maalum au tovuti ya nje. Ni sharti Timu ya Sera ya YouTube iidhinishe hali zozote zisizofuata kanuni katika amri hii ya sekunde 30.
  • Sauti iliyo kwenye mtiririko mubashara unaofanyika kwenye bango kuu inahitaji kuwa iliyoanzishwa na mtumiaji.
  • Maudhui yaliyo kwenye mtiririko mubashara yanapaswa kutii Mwongozo wetu wa Jumuiya.
  • Anayetoa ofa au mzalishaji anapaswa kufanya juhudi za nia njema za kufuatilia mtiririko mubashara kwenye Mwongozo wetu wa Jumuiya.

Ikiwa yoyote kati ya hali zilizo hapo juu itafanyika kwenye mtiririko wako, huenda tukahitaji kufanya ukaguzi wa kisera kwenye mtiririko wako kabla ya kuuidhinisha.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
8373632626316488643
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false