Kuiga vipengee vya tovuti ya YouTube

Matangazo hayawezi kuiga vipengee vya tovuti ya YouTube kwa njia, sura au umbo lolote. Mambo yafuatayo hayaruhusiwi (orodha hii haijakamilika):

  • Matangazo hayafai kufanana au kujaribu kufanana na sehemu ya hali ya matumizi ya ukurasa wa kwanza wa tovuti ya YouTube.
  • Matangazo hayafai kutuma au kuonekana kutuma ujumbe ambao unalenga kuonekana kana kwamba umetoka kwa YouTube.
  • Matangazo yanayoonyeshwa wakati wa kutiririsha (yanayojulikana pia kama matangazo ya video yanayoonyeshwa wakati wa kutiririsha), ikiwa ni pamoja na TrueView, hayafai kuiga kitufe cha Ruka matangazo.
  • Vijipicha vyovyote vya YouTube vilivyo kwenye tangazo vinahitaji kuruhusu watazamaji kubofya na kutazama video ndani ya bango kuu au kwenye ukurasa wa kutazama kwenye YouTube. Kwa mfano, sekunde chache za uhuishaji wa vijipicha unaoharibiwa haziwapi watazamaji fursa ya kubofya na kutazama video. Pia, ni sharti metadata yoyote inayohusishwa na vijipicha vya video iwe sahihi.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15287380043925826887
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false