Maudhui yanayozalishwa na mtumiaji katika matangazo

Ili kujumuisha maudhui yanayozalishwa na mtumiaji kwenye tangazo, kama vile video zilizopakiwa na watayarishi wa YouTube, ni sharti anayeweka tangazo apate ruhusa ya moja kwa moja kutoka kwa mmiliki wa maudhui hayo. Amri hii inatumika kwa miundo yote ya matangazo isipokuwa katika mabango makuu ya ukurasa wa kwanza. Maudhui yanayozalishwa na mtumiaji yamepigwa marufuku kwenye mabango makuu ya ukurasa wa kwanza hata kama mtayarishi ametoa ruhusa. Wanaoweka matangazo wanaweza kuangazia video za watayarishi kwenye kituo chao maalum kupitia vipengele vilivyopo vya kituo (kama vile kutayarisha Orodha za kucheza za video au kuziongeza kama Zinazopendwa).

Baadhi ya matumizi yenye mipaka ya API za mtandao wa kijamii au vipengele vya wengine yanaruhusiwa yanapoidhinishwa na YouTube. Pata maelezo zaidi kuhusu programu za wengine.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16031517773239192712
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false