Kutumia mitandao jamii na programu za wengine

Matangazo au Vituo Maalum vinavyojumuisha mitandao jamii kutoka tovuti au programu za wengine vinaweza tu kujumuisha maudhui ambayo mtangazaji anamiliki na kudhibiti.

Pamoja na vikwazo vilivyo hapo juu, matangazo au Vituo Maalum vinapojumuisha programu au API za wengine au zinazomilikiwa na Google, ni sharti matangazo yote yafuate vigezo vifuatavyo:

  • Ni sharti mtangazaji atii kikamilifu sheria na masharti ya wengine au apate idhini ya wengine panapofaa.
  • Ni lazima mtangazaji atumie toleo lililoidhinishwa au rasmi la API au programu husika.
  • Mtangazaji hapaswi kupitisha data yoyote kutoka kwa wengine kwenye YouTube au kupitia seva za YouTube.

Aidha, baadhi ya API hazitaruhusiwa kwenye YouTube. Unaweza kuzungumza na unayewasiliana naye wa mauzo ili upate maelezo zaidi.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
18373350534962227675
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false