Kuomba kurejeshewa pesa za bidhaa za YouTube zinazolipiwa

Ikiwa video na vipengele vinavyohusiana na ununuzi uliofanya kwenye YouTube havifanyi kazi kama ilivyoelezwa, huenda ukatimiza masharti ya kurejeshewa pesa.

Huwezi kurejeshewa pesa za baadhi ya malipo ya huduma za YouTube na uanachama. Ikiwa ombi la kurejeshewa pesa limekubaliwa, tutaondoa ufikiaji wa maudhui na pesa zako zitarejeshwa ndani ya muda uliokadiriwa wa kurejesha pesa.

Kutuma ombi la kurejeshewa pesa za huduma au uanachama wa YouTube

Kutatua matatizo ya utozaji kwenye YouTube

Bofya kitufe kilicho hapa chini ili utatue au upate maelezo kuhusu malipo yako kwenye YouTube.

KUTATUA MATATIZO YA UTOZAJI KWENYE YOUTUBE


Je, una maswali kuhusu kutimiza masharti ya kurejeshewa pesa?

Angalia sera zetu za kurejesha pesa na upate maelezo kuhusu jinsi ya kuomba kurejeshewa pesa kwenye makala yaliyo hapa chini.

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
6270803151236241599
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false