Kutazama YouTube katika hali inayoangaza mazingira

Hali inayoangaza mazingira hutumia madoido ya mwangaza kufanya utazamaji wa video kuwa wa kuvutia zaidi, kwa kuangaza rangi zinazovutia kutoka kwenye video hadi kwenye mandharinyuma ya skrini yako.

Watch YouTube in Dark theme to activate Ambient mode ft. Raymond Strazdas 🕶️ 🎨

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Ili utumie Hali inayoangaza mazingira:

  1. Baada ya kuwasha Mandhari meusi, hali inayoangaza mazingira huwashwa kiotomatiki.

Ili uzime hali inayoangaza mazingira:

  1. Kwenye ukurasa wa kutazama, bofya Mipangilio .
  2. Bofya Hali inayoangaza mazingira .
  3. Geuza ili uzime Hali inayoangaza mazingira kwenye video zote.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17830044221229826001
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false