Kutazama Video Fupi za YouTube

Video Fupi za YouTube ni video fupi za wima zinazokupa fursa zisizo na ukomo za kugundua maudhui mapya na yanayovutia. Kila Video fupi ina sekunde 60 au pungufu, kwa hivyo video inayofuata haiko mbali sana.

Kichezaji cha Video Fupi za YouTube kinakuruhusu kutazama na kutumia utiririshaji wa video usio na kikomo kwenye Mipasho ya Video Fupi.

Tazama Video Fupi kwenye televisheni inayoweza kuunganisha kwenye intaneti na vifaa vya michezo ya video

Kutazama Video Fupi za YouTube kwenye televisheni yako

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Unaweza kutazama Video Fupi kwenye programu ya YouTube katika televisheni nyingi zinazoweza kuunganisha kwenye intaneti, vifaa vya michezo ya video na vifaa vingine vya kutitirisha.

Ufuatao ni utaratibu wa kutumia kidhibiti mbali chako ili usogeze kwenye kichezaji:

  1. Ili ucheze au kusitisha Video Fupi, ibofye moja kwa moja.
  2. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Video Fupi, bofya kulia.
  3. Ili uendelee kwenye Video Fupi inayofuata, sogeza au bofya chini.
  4. Ili urudi kwenye Video Fupi iliyotangulia, sogeza au bofya juu.

Kumbuka kuwa kichezaji cha Video Fupi huenda kisifanye kazi kwenye baadhi ya vifaa vyenye matoleo ya kabla ya mwaka 2019.

Video Fupi huonekana katika rafu ya Video Fupi kwenye ukurasa wako wa kwanza wa YouTube, kwenye matokeo ya utafutaji na kwenye kurasa za chaneli katika YouTube. Ukichagua Video fupi, itaendelea kucheza kwenye kichezaji cha Video Fupi.

Ili utazame Video Fupi kwenye YouTube:

  1. Nenda kwenye YouTube.
  2. Kwenye sehemu ya kushoto, bofya Video Fupi  ili ufungue kichezaji cha Video Fupi za YouTube

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
18059806043239893635
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false