Sera za usaidizi wa Ununuzi kwenye YouTube kwa wanunuzi

Iwapo unafanya ununuzi kupitia YouTube, ni muhimu uelewe sera zinazotumika katika miamala yako. Ili kuhakikisha kuwa una hali salama na nzuri ya utumiaji, Google huwahitaji wauzaji wa rejareja wafuate sheria na kanuni zote zinazotumika, ikiwa ni pamoja na:

Iwapo wewe ni mtayarishi unayetimiza masharti, unayetaka kuelewa sera za duka na bidhaa zako, angalia makala haya:

Sera za bidhaa kwenye tovuti za wauzaji wa rejareja

Shughuli na ununuzi unaofanya kwenye tovuti za wauzaji wa rejareja zinasimamiwa na sheria na masharti ya wauzaji wa rejareja, ikiwa ni pamoja na sera zao za faragha. Muuzaji wa rejareja atabainisha bei ya mwisho na kodi na ada zinazotozwa. Muuzaji atashughulikia oda yote ikiwa ni pamoja na:

  • Kujaza maelezo ya oda
  • Usafirishaji
  • Malipo
  • Usaidizi (ikiwa ni pamoja na kurejeshwa kwa bidhaa na pesa)

Google haina mamlaka juu ya shughuli na ununuzi unaofanywa kwenye tovuti ya muuzaji wa rejareja, kwa hivyo wasiliana na muuzaji wa rejareja kwa matatizo au maswali yoyote yanayohusiana na oda yako. Hii ni pamoja na kurejeshwa kwa bidhaa na pesa.

Jinsi ya kuripoti orodha za wauzaji wa rejareja

Unaweza kuripoti maudhui ya orodha ya bidhaa za muuzaji wa rejareja chini ya sera zetu za kisheria kwa kutumia fomu hii.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
14573794233172374129
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false