Kutoa metadata ya msanii na mchangiaji

Vipengele hivi vinapatikana tu kwa washirika ambao hutumia Kidhibiti Maudhui cha Studio ya YouTube. Wasiliana na Msimamizi wako wa Washirika wa YouTube ili uweze kuvitumia.

Makala haya yanaelezea jinsi ya kutoa metadata ya msanii na mchangiaji wa nyenzo, pamoja na vitambulishi vinavyohusiana.

Wasanii na Wachangiaji

Kushirikiana na wasanii wengi

Kwa nyimbo au albamu zinazoshirikisha wasanii wengi, unaweza kubainisha msanii mahususi kwa kutumia kipengee tofauti cha <DisplayArtist> kwenye <ReleaseDetailsByTerritory>. Katika kila kipengee, <ArtistRole> inapaswa kuwa MainArtist.

Mfano huu unaonyesha jinsi ya kutaja wasanii 3 walioshirikishwa:

<ReleaseDetailsByTerritory>

<DisplayArtist SequenceNumber="1">

    <PartyName>

       <FullName>Msanii 1</FullName>

    </PartyName>

    <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

<DisplayArtist SequenceNumber="2">

    <PartyName>

       <FullName>Msanii 2</FullName>

    </PartyName>

   <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

<DisplayArtist SequenceNumber="3">

    <PartyName>

       <FullName>Msanii 3</FullName>

    </PartyName>

    <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

Kidokezo: Tunapuuza sifa ya SequenceNumber na tunaorodhesha wasanii kulingana na mpangilio katika XML.
Wasanii walioshirikishwa

Ili kuonyesha wasanii walioshirikishwa, jina la msanii linapaswa kutumwa kama <DisplayArtist>, nayo <ArtistRole> inapaswa kuwa FeaturedArtist kwenye <ReleaseDetailsByTerritory> katika albamu.

Mfano huu unaonyesha jinsi ya kutaja msanii aliyeshirikishwa katika albamu:

<ReleaseDetailsByTerritory>

<DisplayArtist SequenceNumber="1">

     <PartyName>

          <FullName>Msanii Mkuu kwenye Albamu</FullName>

     </PartyName>

     <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

<DisplayArtist SequenceNumber="2">

     <PartyName>

          <FullName>Msanii Aliyeshirikishwa kwenye Albamu</FullName>

     </PartyName>

     <ArtistRole>FeaturedArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

Ili kuonyesha wasanii walioshirikishwa, jina la msanii linapaswa kutumwa kama <DisplayArtist>, nayo <ArtistRole> inapaswa kuwa FeaturedArtist kwenye <SoundRecordingDetailsByTerritory> katika wimbo. 

Mfano huu unaonyesha jinsi ya kutaja msanii aliyeshirikishwa kwenye wimbo:

<SoundRecordingDetailsByTerritory>

<DisplayArtist>

    <PartyName>

         <FullName>Msanii Mkuu katika Wimbo 1</FullName>

    </PartyName>

    <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

<DisplayArtist>

    <PartyName>

<FullName>Msanii Aliyeshirikishwa katika Wimbo 1</FullName>

     </PartyName>

     <ArtistRole>FeaturedArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

Wasanii mbalimbali

Ikiwa albamu ina wimbo ulioimbwa na wasanii 5 au zaidi, unapaswa kujaza sehemu ya msanii mkuu katika wimbo huo kuwa "Wasanii Mbalimbali".

Unaweza pia kutoa tafsiri ya "Wasanii Mbalimbali". Pata maelezo zaidi kuhusu kutoa metadata iliyojanibishwa kwa video za picha.

Hupaswi kutumia chaguo la "Wasanii Mbalimbali" kwa nyimbo zote, kila wimbo unapaswa kuwa na angalau msanii mmoja mkuu.

Mfano huu unaonyesha jinsi ya kubainisha wasanii mbalimbali kama msanii mkuu kwenye albamu:

<ReleaseDetailsByTerritory>

<DisplayArtist SequenceNumber="1">

    <PartyName>

         <FullName>Wasanii Mbalimbali</FullName>

    </PartyName>

    <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

Nyimbo zote kwenye albamu zinapaswa kuwa na angalau jina moja la msanii ambaye ndiye MainArtist:

<SoundRecordingDetailsByTerritory>

<DisplayArtist>

    <PartyName>

         <FullName>Msanii Mkuu katika Wimbo 1</FullName>

     </PartyName>

     <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

Wachangiaji wa nyenzo

Ili kutaja wachangiaji kando na Msanii Mkuu na Msanii Aliyeshirikishwa katika wimbo, unaweza kutumia kipengee cha <ResourceContributor> au <IndirectResourceContributor> kwenye <SoundRecordingDetailsByTerritory>.

Mfano huu unaonyesha jinsi ya kubainisha maelezo ya mtayarishaji:

<SoundRecordingDetailsByTerritory>

  …

  <ResourceContributor SequenceNumber="1">

    <PartyName>

         <FullName>Joe, Mtayarishaji</FullName>

    </PartyName>

    <ResourceContributorRole>Mtayarishaji</ResourceContributorRole>

  </ResourceContributor>

  …

</SoundRecordingDetailsByTerritory>

Mfano huu unaonyesha jinsi ya kubainisha maelezo ya mtunzi:

<SoundRecordingDetailsByTerritory>

  …

  <IndirectResourceContributor SequenceNumber="1">

    <PartyName>

         <FullName>Joe, mtunzi</FullName>

    </PartyName>     <IndirectResourceContributorRole>Mtunzi</IndirectResourceContributorRole>

  </IndirectResourceContributor>

  …

</SoundRecordingDetailsByTerritory>

Kwa mujibu wa viwango vya DDEX, baadhi ya chaguo za majukumu ya wachangiaji hazitumiki kwenye YouTube. Ifuatayo ni orodha ya majukumu yanayotumika kwa sasa. Ikiwa jukumu unalotaka kuteua halipo kwenye orodha hii, unaweza kuwasilisha jukumu hilo kwa kutumia chaguo lililobainishwa na mtumiaji:

 <ResourceContributor SequenceNumber="1">

    <PartyName>

         <FullName>Jane, Mwandalizi Mwenza</FullName>

    </PartyName>

    <ResourceContributorRole Namespace="DPID:PADPIDAZZZZXXXXXXU"  UserDefinedValue=”CoMixer”>UserDefined</ResourceContributorRole>

</ResourceContributor>

Kidokezo: Unahitaji kuongeza kipengee cha <ResourceContributor> na <IndirectResourceContributor> kwenye vipengee vyote vya <SoundRecording> ambapo mhusika alichangia.

Orodha ya majukumu ya wachangiaji yanayotumika

Mwigizaji

Mjanibishaji

Mwandalizi

Mtayarishaji wa Matumbuizo

Msanii

Msanii Aliyeshirikishwa

Mwandishi

Bendi

Msanii wa Vibonzo

Kwaya

Anayeongoza densi

Mtunzi

Mtunzi wa Maneno ya Wimbo

Mtayarishaji wa Michoro ya Kompyuta

Mwelekezaji

Mchangiaji

Mcheza densi

Msanifu

Mwelekezi

Kikundi cha Wanamuziki

Msanii Aliyeshirikishwa

Mwelekezi wa Filamu

Msanii wa Michoro

Mchoraji

Mwanahabari

Mwandishi wa opera

Mtunzi wa maneno ya wimbo

Msanii Mkuu

Mchapishaji wa Muziki

Msimulizi

Mwandishi Asiyeandika Wimbo

Bendi

Mchapishaji Halisi

Mpakarangi

Mpigapicha

Mwelekezi wa Upigaji Picha

Mtunzi wa onyesho la sanaa

Mwanamuziki Mkuu

Mtayarishaji

Mwelekezi wa ratiba

Mwandishi wa Onyesho

Msanii anayetumbuiza akiwa pekee yake

Mwanamuziki wa Studio

Mhudumu kwenye Studio

Mtayarishaji Mwenza wa Matumbuizo

Mchapishaji Mwenza

Mchapishaji Mwenza

Mtafsiri

Vitambulishi

Vitambulisho vya Umiliki kwa Wasanii Washiriki

Ili kuepuka mizozo kuhusiana na wasanii (kutambua kwa usahihi msanii na wimbo wake), inapendekezwa ubainishe kitambulisho chako cha umiliki wa wimbo wa msanii (au PSAID) kuwa <PartyId> kwa kila <DisplayArtist> ambaye <ArtistRole> ni MainArtist. Unapaswa kujumuisha PartyId hii kwenye <ReleaseList>, nyenzo kama vile <SoundRecording>, na video katika <ResourceList>. Vitambulisho vyako vya umiliki wa wimbo wa msanii vinapaswa kuwa vya kipekee kwa kila msanii.
Pia, unapswa kujumuisha jina la msanii kwenye kipengee cha <PartyName>. DPid iliyobainishwa kwa kutumia "DPID:PADPIDAZZZZXXXXXXU" sharti ilingane na lebo ya <MessageSender> (au lebo ya <SentOnBehalfOf>, ikiwa ipo).

Unapotuma vitambulisho vya umiliki wa wimbo wa msanii, huhitaji kuwasilisha upya maudhui na maelezo ya wasanii ambayo tayari umewasilisha. Iwapo ungependa kutoa vitambulisho vyako vya umiliki kwa wasanii washiriki, unaweza kufanya hivyo kwa maudhui ya baadaye yanayojumuisha wasanii wapya, au maudhui mapya ya wasanii waliopo.

Mfano wa XML ulio hapa chini unabainisha kuwa mtumaji ujumbe ambaye DPid yake ni PADPIDAZZZZXXXXXXU anatuma PROPRIETARY_PARTNER_ARTIST_ID itakayohusishwa na msanii mkuu ambaye ni Artist_Name:

<DisplayArtist SequenceNumber="...">

  <PartyName LanguageAndScriptCode="...">

    <FullName>Artist_Name</FullName>

  </PartyName>

  <!-- Kitambulisho cha Mshirika wa Usambazaji cha DDEX -->

  <PartyId Namespace="DPID:PADPIDAZZZZXXXXXXU">PROPRIETARY_PARTNER_ARTIST_ID</PartyId>

  <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

ISNI

ISNI inaweza kubainishwa kupitia <PartyId> kwa kutumia “IsISNI” na unaweza kuwasilisha ISNI ya wasanii na wachangiaji wa nyenzo.

Mfano wa XML ulio hapa chini unaonyesha kuwa ISNI 000000012345678X inamtambulisha msanii mkuu kuwa Artist_Name:

<DisplayArtist SequenceNumber="...">

  <PartyName LanguageAndScriptCode="...">

    <FullName>Artist_Name</FullName>

  </PartyName>

  <PartyId IsISNI="true">000000012345678X</PartyId>

  <ArtistRole>MainArtist</ArtistRole>

</DisplayArtist>

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
14876701448801155805
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false