Kurejeshewa pesa za uanachama katika chaneli ya YouTube

Pata maelezo zaidi kuhusu sera za kurejesha pesa na uombe kurejeshewa pesa za uanachama katika kituo uliolipiwa kupitia akaunti yako.

Kurejeshewa pesa za Marupurupu Yanayotolewa na Mtayarishi kwenye YouTube

Fuatilia chaneli ya Watazamaji ya YouTube ili upate habari, taarifa na vidokezo vipya.

Ungependa kurejeshewa pesa za YouTube Premium au Music Premium? Uanachama katika vituo ni tofauti na uanachama wa YouTube Premium na wa YouTube Music Premium.

Sera za kurejesha pesa za uanachama katika kituo

  • Unaweza kukatisha uanachama wako unaolipiwa katika chaneli wakati wowote. Ukishaghairi, hutatozwa tena. Bado utakuwa na uwezo wa kufikia manufaa hadi mwishoni mwa kipindi chako cha kutozwa.
  • Hutarejeshewa pesa za muda utakaosalia kuanzia utakapokatisha uanachama na wakati uanachama wako katika chaneli utakwisha rasmi.
  • Haturejeshi pesa au masalio kwa ajili ya vipindi vya bili ambavyo havijakamilika.

Kuomba kurejeshewa pesa za uanachama katika chaneli ya YouTube

Iwapo marupurupu yanayotolewa na mtayarishi au vipengele vingine havifanyi kazi, wasiliana na timu yetu ya usaidizi ili usaidiwe.

Iwapo umejisajili kupitia Apple, utahitaji kuwasiliana na timu ya usaidizi wa Apple ili uombe urejeshewe pesa za uanachama wako unaolipiwa katika chaneli. Sera ya kurejesha pesa ya Apple itatumika.

Ukigundua utozaji ambao haujaidhinishwa wa uanachama katika chaneli kwenye akaunti yako, ripoti utozaji huo ambao haujaidhinishwa.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
962692756374671855
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false