Huwezi kusimamisha uanachama wako kwa kutumia huduma ya malipo kupitia Google Play. Badala yake, unaweza kughairi uanachama wako na ujisajili tena wakati wowote.
Nenda kwenye payments.google.com ukitumia kivinjari cha Chrome ili uone utozaji mpya na uelewe jinsi unavyotozwa. Unaweza pia kupata maelezo zaidi kuhusu sera za Google Play za kurejesha pesa