Iwapo una uanachama unaolipiwa ambao unaendelea, ingia katika akaunti ili uombe urejeshewe pesa.
Ununuzi kwenye YouTube unaofanywa kupitia App Store unahitaji kuidhinishwa kwenye Apple na unasimamiwa na sera za Apple za kurejesha pesa.
YouTube haiwezi kurejesha pesa za ununuzi uliofanywa kwenye kifaa cha Apple au kupitia malipo ya Apple. Wasiliana na timu ya usaidizi ya Apple ili uombe kurejeshewa pesa.