Kutumia Upakuaji wa Kiotomatiki kwenye YouTube Premium

Ukitumia kipengele cha Upakuaji wa kiotomatiki, video zinazopendekezwa huwekwa kiotomatiki kwenye vipakuliwa vyako ili utazame nje ya mtandao. Tazama video popote ulipo na ugundue maudhui mapya bila ugumu wa kutafuta. Upakuaji utakomeshwa ukitenganisha mtandao wa Wi-Fi au nafasi ya hifadhi ya kifaa chako ikikaribia kujaa.

How to download videos with YouTube Premium

Kuwasha Upakuaji wa kiotomatiki

Kutoka kwenye akaunti ya YouTube Premium ambako umeingia.
  1. Fungua programu ya YouTube.
  2. Gusa picha yako ya wasifu .
  3. Gusa Vipakuliwa .
  4. Kwenye Menyu , chagua Mipangilio .
  5. Geuza ili uwashe Upakuaji wa kiotomatiki .
Kumbuka: Ni lazima kifaa chako kiunganishwe kwenye intaneti ili uanze kupakua video.

Kuzima Upakuaji wa kiotomatiki

Kutoka kwenye akaunti ya YouTube Premium ambako umeingia.
  1. Fungua programu ya YouTube.
  2. Gusa picha yako ya wasifu .
  3. Gusa Vipakuliwa .
  4. Kwenye Menyu , chagua Mipangilio .
  5. Geuza ili uzime Upakuaji wa kiotomatiki .

Kupata na kutazama maudhui ya Upakuaji wa Kiotomatiki

Kutoka kwenye akaunti ya YouTube Premium ambako umeingia.
  1. Fungua programu ya YouTube.
  2. Gusa picha yako ya wasifu .
  3. Gusa Vipakuliwa kisha Upakuaji wa Kiotomatiki.
Utaona orodha ya video zinazopendekezwa zilizochaguliwa na kupakuliwa kulingana na historia ya video ulizotazama.

Kuondoa video kwenye kipengele chako cha Upakuaji wa Kiotomatiki

  1. Gusa picha yako ya wasifu kisha Vipakuliwa .
  2. Gusa Menyu karibu na video ambayo ungependa kuondoa.
  3. Chagua Futa kwenye vipakuliwa.
Video mpya zitapakuliwa kila baada ya siku 7 na video zilizopakuliwa awali zitabadilishwa.

Kubadilisha ubora wa Upakuaji wa kiotomatiki

Kutoka kwenye akaunti ya YouTube Premium ambako umeingia.
  1. Fungua programu ya YouTube.
  2. Gusa picha yako ya wasifu .
  3. Gusa Vipakuliwa .
  4. Kwenye Menyu , chagua Mipangilio .
  5. Gusa Ubora wa kupakua.
  6. Chagua mipangilio ya ubora wa kupakua unaopendelea kwenye chaguo zilizoorodheshwa hapa chini.

Rekebisha mipangilio yako ya nafasi ya hifadhi

Kwenye akaunti ya YouTube Premium ambako umeingia,

  1. Fungua Programu ya YouTube kisha uende kwenye Mipangilio yako
  2. Gusa Chinichini na vipakuliwa kisha Rekebisha Upakuaji wa kiotomatiki.
  3. Chini ya Matumizi ya nafasi ya hifadhi, chagua Maalum.
  4. Tumia kitelezi kuchagua kiasi cha nafasi ya hifadhi ambacho ungependa kifaa chako kitumie kwa Upakuaji wa kiotomatiki.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
11031785884493408334
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
true
true
59
false
false
false
false